Covid-19: We need Magufuli’s inspiration not copy-cat leadership

Walitumua ute ute au maji maji yanayo patikana kwenye ivyo vitu na hua ni vyeupe ndiomana watu wa maabara hawakujua Kama ni mtego sababu hata sampuli zinazo tumika kutoka kwa binadam ni uteute unao patikana kwenye Koo au ndan ya pua nao hua mweupe
Mimi ninaye binamu wangu amepimwa kwa kutumia huo utando bila damu, lakini swali langu liko pale pale mumesema ilikua upimaji wa kisiri bila ya hao kwenye maabara kujua kwamba sampuli hiyo sio ya bnadamu, sasa mananasi ulitumia kitu gani kuwahadaa hao kwenye maabara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom