MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,746
- 48,385
Nana kakwambia vipimo vya Covid-19 vinahitaji damu?
Yaani pamoja na mda wote huu kupita bado tu haujapata elimu jinsi gani na wapi Corona Virus wanapatikana.
Haya ndio matokeo ya kukaa ndani kwenye lockdown, unakua huna la kujifunza, unakua zuzu kusubiri serikalivikwambie cha kufanya. .
Tofauti na wale wanao survive nje kila siku wanajifunza namna ya ku survive Corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo nyie huwa wazembe sana wa kushirikisha ubongo kwenye chochote, nafahamu corona utaipata popote hadi kwenye meza, ila kama nimemuelewa rais wenu anasema sampuli za hayo mananasi zilipelekwa kisiri, sasa ninavyfahamu wale wanaopima wanaletewa damu kabisa za washukiwa wa corona, so swali langu ni kitu gani waliletewa kwenye maabara hadi wasibaini kwamba hakijatoka kwa binadamu.
Ingekua sio kisiri, wangeletewa hayo mananasi kabisa kwenye maabara, lakini hapa mnasema walipima bila kujua wanapima sampuli iliyotoka kwa binadamu.