COVID-19: Ulaya hali bado ni tete

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,681
8,233

The leaders of EU27 countries wore face masks as they greeted each other with elbow bumps, nods, bows and some variations at a summit to thrash out a deal on a multibillion coronavirus recovery fund for the bloc's economies

There were birthday gifts for the German chancellor, Angela Merkel, who turned 66, and the Portuguese prime minister, António Costa, who turned 59

======

Waje wajifunze jinsi Tanzania ilivyopambana na COVID-19.
 
Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    86.3 KB · Views: 1
Mh rais Magufuli na team yake walishughulikia vizuri mno suala zima la Corona.

Anastahili pongezi za hali ya juu kwa kweli
 
Kitu gani cha maana ambacho tz, wamefanya wao wameshindwa? Ina julikana kabisa, ugonjwa unaohusiana na mafua kwa wazungu ni mateso makubwa mno!! Waafrika kwa ujumla kinachotusaidia ni kinga zetu tu, za mwili kuwa imala dhidi ya magonjwa yahusuyo upumuaji,, na imani kwa dar watu wengi sana waliugua covid 19, bila hata wao kufahamu sio kwamba eti kuna mbinu bora ambayo serikali imeitumia kupunguza madhara!!

Hata hao kenya, uganda na wengine nadhani wana lao jambo hasa viongozii, ili kumpata hiyo mikopo ya riba nafuu/masharti. Ila wanakopelekea watachemka tu. Kwa maisha yetu haya sasa robo ya bara la afrika wangekuwa wamesha kufa, lakini wapi!!! Sisi watuache na UKIMWI, EBOLA, MALARIA,
 
Kitu ambacho Tanzania chini ya JPM wamefanya ni kuishinda Corona. Ni kujifukiza tu kwa kwenda mbele (Mama kajikata........)

Kitu gani cha maana ambacho tz, wamefanya wao wameshindwa? Ina julikana kabisa, ugonjwa unaohusiana na mafua kwa wazungu ni mateso makubwa mno!! Waafrika kwa ujumla kinachotusaidia ni kinga zetu tu, za mwili kuwa imala dhidi ya magonjwa yahusuyo upumuaji,, na imani kwa dar watu wengi sana waliugua covid 19, bila hata wao kufahamu sio kwamba eti kuna mbinu bora ambayo serikali imeitumia kupunguza madhara!!

Hata hao kenya, uganda na wengine nadhani wana lao jambo hasa viongozii, ili kumpata hiyo mikopo ya riba nafuu/masharti. Ila wanakopelekea watachemka tu. Kwa maisha yetu haya sasa robo ya bara la afrika wangekuwa wamesha kufa, lakini wapi!!! Sisi watuache na UKIMWI, EBOLA, MALARIA,

Siri kubwa ya watanzania ni serikali kuhimiza wananchi kujifukiza na kutumia matunda kama malimao, vitunguu maji, vitunguu swaumu, tangawizi, mchaichai na mengine mengi, siri ya vitu hivi ni kuongeza kinga mwili tena kwa kasi ya ajabu.
Wakati ugonjwa ulipoingia Serikali ya Tanzania ilikuwa busy kumwomba Mungu na kuhamasisha wananchi kutumia hivyo vitu, matokeo yake wananchi wamejenga kinga imara na kwa sasa matunda haya yamekuwa mila na desturi kwetu sasa asubuhi ukiamka hatunywi tena chai ya kawaida kwenye kinywaji cha asubuhi lazima kuwe na limao, tangawizi, garlic na onion.

Na wakati Kenya, Zambia , Rwanda na Uganda walifunga mipaka supply ya matunda, spices , vegetables kwenye masoko yetu ya Tz ikawa juu na price ikashuka wananchi wakapata unafuu wa kununua hayo matunda. Kwa ufupi naweza kusema si kwamba Covid haikuwepo Tanzania nop ilikuwepo lakini kila ikijaribu kuingia inakutana na strong body inatokomea na sasa sisi ni COVID-19 free country na hilo ndio unique method aliyotumia Presidaa wetu Dr John Pombe Magufuli ambaye kama kweli wazungu wanaojali wamtunuku MEDALI.

Kwa hiyo ndugu kwa swali lako la “Kitu gani cha maana ambacho tz, wamefanya wao wameshindwa? ” Ni kama nilivyoeleza hapo juu Kusali na Kutumia mimea, na sisi hatukuwaiga wao.

Hakuna kitu kibaya dunia kama kumpa mtu wasiwasi na kumwogopesha na kumfungia ndani hiyo tu ni mauwaji. Corona inahitaji Mwili uwe na mazoezi na akili isiyolala
 
Siri kubwa ya watanzania ni serikali kuhimiza wananchi kujifukiza na kutumia matunda kama malimao, vitunguu maji, vitunguu swaumu, tangawizi, mchaichai na mengine mengi, siri ya vitu hivi ni kuongeza kinga mwili tena kwa kasi ya ajabu.
Wakati ugonjwa ulipoingia Serikali ya Tanzania ilikuwa busy kumwomba Mungu na kuhamasisha wananchi kutumia hivyo vitu, matokeo yake wananchi wamejenga kinga imara na kwa sasa matunda haya yamekuwa mila na desturi kwetu sasa asubuhi ukiamka hatunywi tena chai ya kawaida kwenye kinywaji cha asubuhi lazima kuwe na limao, tangawizi, garlic na onion.

Na wakati Kenya, Zambia , Rwanda na Uganda walifunga mipaka supply ya matunda, spices , vegetables kwenye masoko yetu ya Tz ikawa juu na price ikashuka wananchi wakapata unafuu wa kununua hayo matunda. Kwa ufupi naweza kusema si kwamba Covid haikuwepo Tanzania nop ilikuwepo lakini kila ikijaribu kuingia inakutana na strong body inatokomea na sasa sisi ni COVID-19 free country na hilo ndio unique method aliyotumia Presidaa wetu Dr John Pombe Magufuli ambaye kama kweli wazungu wanajali wamtunuku MEDALI.

Kwa hiyo ndugu kwa swali lako la “Kitu gani cha maana ambacho tz, wamefanya wao wameshindwa? ” Ni kama nilivyoeleza hapo juu Kusali na Kutumia mimea, na sisi hatukuwaiga wao.

Hakuna kitu kibaya dunia kama kumpa mtu wasiwasi na kumwogopesha na kumfungia ndani hiyo tu ni mauwaji. Corona inahitaji Mwili uwe na mazoezi na akili isiyolala
Uongo mtupu, majibu sahihi ni ya white wizard hapo juu.
 
Back
Top Bottom