Nikweli lakini esabu inapungua. Sasaivi ni zamu ya makonda na madereva kupata ela maana wanalalamika kazingimu kilasiku wamepata sababu.Mm naona kwenye daladala level seats iendelee hata baada ya coronna , kwanza itakaa poa sana huu utaratibu tukiuzoea, pili hata wamiliki wa mabasi watapata faida maana gari hazitachoka haraka kama kujaza rumbesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa.Kwa haraka haraka tumejifunza mengi na tunaendelea kujifunza.
Siasa za nje
Nchi zitabadili sera zao za mambo ya nje. Ubabe ubabe wa kijinga utapoa. Tumeshajifunza kwamba kuna majanga fulani yakitokea kunakuwa hakuna mmbabe. Wote tutahitaji msaada kwa wengine.
Kwenye siasa za ndani
Nchi hasa za Africa zitaona umuhimu wa kuimarisha miundombinu ya afya na facilitations zake ikiwemo kutunisha mfuko wa dharula mbaka uwe kama gunia la viazi, Ili janga likitokea tuweze kuhangaika nalo wenyewe, maana kuna wakati flani ukifika kila mtu anapambana na haliyake hakuna kutembezeana bakuli.
Kiuchumi
Nchi nyingi zitaboresha mfumo wa watu kufanya kazi wakiwa majumbani,iliutumike vizuri katika kipindi amabacho kutakuwa na majanga ambayo yatasababisa watu wasiende katika maeneoyao ya kazi.
Kijamii
Watu watajifunza kupeana nafasi. Wataacha kuzurula hovyo, kukusanyika, kushikana shikana hovyo kwa mfano kukumbatiana, kupigaba mabusu kama Tom and Jerry, kupeana mikono na mengine mengi yanayofanana na hayo.
Mambo ni mengi, ongezea mengine tunayofanya kwa mazoea ili tuyaache kabla bado.
Kama hatutabadili mfumo wa maisha kwa kujifunza kupitia hii Covid-19 basi binadamu tutakuwa useless.
Nawaza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa kupeana mikono, ukimsalimia mtu tu anakunyooshea limkono ikizuga kama hujaona anaazakusema unadharau...Wabongo tutakuwa na ustaarabu wa kuosha mikono mara kwa mara
..Mbagala - Kariakoo na sehemu nyingine zote daladala level seat....
Kwa haraka haraka tumejifunza mengi na tunaendelea kujifunza.
Siasa za nje
Nchi zitabadili sera zao za mambo ya nje. Ubabe ubabe wa kijinga utapoa. Tumeshajifunza kwamba kuna majanga fulani yakitokea kunakuwa hakuna mmbabe. Wote tutahitaji msaada kwa wengine.
Kwenye siasa za ndani
Nchi hasa za Africa zitaona umuhimu wa kuimarisha miundombinu ya afya na facilitations zake ikiwemo kutunisha mfuko wa dharula mbaka uwe kama gunia la viazi, Ili janga likitokea tuweze kuhangaika nalo wenyewe, maana kuna wakati flani ukifika kila mtu anapambana na haliyake hakuna kutembezeana bakuli.
Kiuchumi
Nchi nyingi zitaboresha mfumo wa watu kufanya kazi wakiwa majumbani,iliutumike vizuri katika kipindi amabacho kutakuwa na majanga ambayo yatasababisa watu wasiende katika maeneoyao ya kazi.
Kijamii
Watu watajifunza kupeana nafasi. Wataacha kuzurula hovyo, kukusanyika, kushikana shikana hovyo kwa mfano kukumbatiana, kupigaba mabusu kama Tom and Jerry, kupeana mikono na mengine mengi yanayofanana na hayo.
Mambo ni mengi, ongezea mengine tunayofanya kwa mazoea ili tuyaache kabla bado.
Kama hatutabadili mfumo wa maisha kwa kujifunza kupitia hii Covid-19 basi binadamu tutakuwa useless.
Nawaza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
CHINA INASHIKA NAMBA MOJA DUNIANI KWA UCHUMI.. NA TAIFA LENYE NGUVU KUBWA DUNIANI.
NCHI ZA AFRIKA KUNUFAIKA NA RASILIMALI ZAKE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Then ma B 52- na mamitambo mengine yote sijui ma s- 400 yatakuwa useless.Serikali nyingi duniani zilizowekeza nguvu kubwa kwenye vifaa vya kivita na majeshi zitapata akili kuwa dunia ya sasa inaweza ikashambuliwa kwa namna nyingine tofauti na vita vya silaha ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Then ma B 52- na mamitambo mengine yote sijui ma s- 400 yatakuwa useless.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, ballistic missile zitawekwa museum.Lazima watu waanze kufikiri upya ya kale mengi yatapita
Huwezi kumpita mwalimu wako kisa kaugua mafua.