Wakuu habari za majukumu,
Naomba mwenye sample ya Coverletter/motivational Letter anisaidie hapa ama DM nimetuma maombi sehemu nyingi ila siitwi nahisi shida iko kwenye covering..
Alienayo ambayo alishaitumia ikamletea matokeo chanya. Naomba msaada huo
Kwa kipindi hiki wasioitwa kwenye kazi Ni wengi sio wewe tu.CV iko vzr nmegundua bila shaka barua n tatzo ndio maana naomba sample ili nibaini nakosea wap
Ni kweli kabisa mkuu.Kwa kipindi hiki wasioitwa kwenye kazi Ni wengi sio wewe tu.
Kwa hyo sidhani Kama barua inaweza kuwa sababu.
Labda ungetuelezea umesomea nini na una uzoefu wa miaka mingapi kwenye kazi yako halaf tutakushaur kitu cha msingi.
Ndio hvyo kabisa, usitegemee umetoka chuo halaf utume maombi sehem 10 tu halaf ndio utegemee kupata kazi.Ni kweli kabisa mkuu.
Kipindi hiki watu wana qualifications za kutosha ila hawaitwi kwenye interview.
Nadhani kuitwa kwenye interview ni suala la bahati inayoambatana na muda ambao mwenyenzi mungu aliokupangia au uwe na wa kukushika mkono.
Kwa kipindi hiki wasioitwa kwenye kazi Ni wengi sio wewe tu.
Kwa hyo sidhani Kama barua inaweza kuwa sababu.
Labda ungetuelezea umesomea nini na una uzoefu wa miaka mingapi kwenye kazi yako halaf tutakushaur kitu cha msingi.
Cover letter inaelezea dhumuni la barua yako in summary,lkn application letter inazama in details yaani inakuwa ndefu zaidi.Kuna tofauti gan kati ya application letter na coverletter?
Mbona unaguna sasa na Kama unajua sana kulikuwa na haja gani ya kuuulizaMmmmh
Hakuna nisichoelewa. And yet unatetea ujinga. Poor TzHujaelewa ungekaa kimya, unawezaje kutumia barua ya mtu kuomba kazi!? Hujui nn maana ya sample!? Acha ujinga.
Unipanic, usitumie akili kufuga nywele tu. Et mtu udese barua, hv una akili kweli wewe!? Hv ww kwa akili yako hujui kuwa haa barua ya aina yyte, format zake ulifundishwa darasan, je huwa unaandika kama ulivofundshwa darasan? Ama huwa unatumia format ya darasan alafu unaandika kwa maneno yako?Hakuna nisichoelewa. And yet unatetea ujinga. Poor Tz
Sasa Kama basics ulipata darasani shida iko wapi mpk udese? Halafu nipanic kwani mm ndio nahitaji hiyo barua ya kudesa? Poor Tz. Wasomi wasomi wanadesa Hadi sampo ya barua Yani hawaelewi waandike Nini ili kujiuza sokoni.Unipanic, usitumie akili kufuga nywele tu. Et mtu udese barua, hv una akili kweli wewe!? Hv ww kwa akili yako hujui kuwa haa barua ya aina yyte, format zake ulifundishwa darasan, je huwa unaandika kama ulivofundshwa darasan? Ama huwa unatumia format ya darasan alafu unaandika kwa maneno yako?
Tumia kichwa kufuga akili, usikurupuke.!!
Nimefatilia majibizano yenu, nimegundua wewe ndie poor tz, akili ulizonazo ni za kusubili mali ya urithi kwenu. Akili zingne huna, maana unaona umekamilika huwez htaji mawazo ya kuboresha kitu, hujui vitu vinaboreshwa kila uchao!? Kwanini mahakaman huwa wanatumia sample ya hukumu zilizowah kutolewa ili kutoa hukumu fulan? Je huwa wanatesa hukumu!? Akili huna wewe!!Sasa Kama basics ulipata darasani shida iko wapi mpk udese? Halafu nipanic kwani mm ndio nahitaji hiyo barua ya kudesa? Poor Tz. Wasomi wasomi wanadesa Hadi sampo ya barua Yani hawaelewi waandike Nini ili kujiuza sokoni.
Mfano wako hauendani kabsaa umevamia mada. Unaelewa lengo la barua na CV ya kuomba kazi. Yaani mtu kujielezea wewe unajua ni nini kulinga na matakwa ya nafasi iliyopo unataka upate sampo ya mtu mwingine? Yaani ishu ya personal characters unashindwa kuziexpress?Nimefatilia majibizano yenu, nimegundua wewe ndie poor tz, akili ulizonazo ni za kusubili mali ya urithi kwenu. Akili zingne huna, maana unaona umekamilika huwez htaji mawazo ya kuboresha kitu, hujui vitu vinaboreshwa kila uchao!? Kwanini mahakaman huwa wanatumia sample ya hukumu zilizowah kutolewa ili kutoa hukumu fulan? Je huwa wanatesa hukumu!? Akili huna wewe!!
Nawasiwasi na kichwa chako...Sasa Kama basics ulipata darasani shida iko wapi mpk udese? Halafu nipanic kwani mm ndio nahitaji hiyo barua ya kudesa? Poor Tz. Wasomi wasomi wanadesa Hadi sampo ya barua Yani hawaelewi waandike Nini ili kujiuza sokoni.
alafu acha ujinga kaka ,sasa hapo una sababu gani ya kuitusi Tanzania nzima ?kila kitu poor tanzania ....utakuta mtu mwenyewe unaeandika huu upumbavu huna lolote afadhali hata ya huyu unaemtolea povu hapa,Sasa Kama basics ulipata darasani shida iko wapi mpk udese? Halafu nipanic kwani mm ndio nahitaji hiyo barua ya kudesa? Poor Tz. Wasomi wasomi wanadesa Hadi sampo ya barua Yani hawaelewi waandike Nini ili kujiuza sokoni.