Cover open error message kwenye RICCO AFICIO MP 3045

Kipilipili

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2010
Posts
2,272
Reaction score
1,899
Hello,
Photocopier machine yangu RICCO AFICIO MP 3045 inaniletea error message "the cover is open as shown. Close it".
Inaonesha kuwa cover ya upande wa kulia pembeni juu iko wazi lakini nimejaribu kufunga na kuswitch off and on machine ila bado hiyo message error inakuja. Msaada tafadhali nini nifanye!
Wasalam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…