HAZINA YETU
Senior Member
- Mar 29, 2013
- 174
- 33
Wanayanga wenzangu nipeni tathmini yenu hasa wale munaoendaga mazoezini .Ni kweli anajua au ndio yale ya kina MBA?
Unaamini kabisa kama mchezaji mzuri wa soka wa Brazil aje kucheza soka Bongo?!
Hamna kitu pale.
Ova
Unaamini kabisa kama mchezaji mzuri wa soka wa Brazil aje kucheza soka Bongo?!
Hamna kitu pale.
Ova
Si kila mbrazil anajua mpira, hapo wazee wa jangwani hakuna kitu.
Unaamini kabisa kama mchezaji mzuri wa soka wa Brazil aje kucheza soka Bongo?!
Hamna kitu pale.
Ova
Ingia youtube video zake zipo utaona mavitu yake wala usipate shida kuuliza alieenda mazoezini kumuona,andika ANDREY COUTINHO then search video zake utaziona.
Si kila mbrazil anajua mpira, hapo wazee wa jangwani hakuna kitu.
Kuna tatizo gani kwa Mbrazil kucheza Tanzania/kuchezea Yanga?...Mbona Rivaldo wa Brazil mchezaji wa daraja la juu kabisa alichezea Kabuscorp ya Angola?...Mbona akina Jose Clayton na Francileudo Dos Santos walichezea Etoile Du Sahel na Esperance za Tunisia na baadae timu ya Taifa ya Tunisia....Unaamini kabisa kama mchezaji mzuri wa soka wa Brazil aje kucheza soka Bongo?!
Hamna kitu pale.
Ova
Unaamini kabisa kama mchezaji mzuri wa soka wa Brazil aje kucheza soka Bongo?!
Hamna kitu pale.
Ova