kuna watu wamemaliza mwaka juzi,jana,na mwaka huu pia watahitimu na bado wako home. mi naona education iko poa alafu ajiendeleze. ila HSM now ajira ni za kutafutaChangamotooooo hapo kwa ajira zpo, PIGA BACHELOR OF HEALTH MANAGEMENT SYSTEM IPO mzumbees nionavyo mm
Natumai mpo vyema wana JF,naomba msaada wa kozi zipi nzuri chuo kusoma mtu aliyesoma HKL? Natanguliza shukrani za dhati
Changamotooooo hapo kwa ajira zpo, PIGA BACHELOR OF HEALTH MANAGEMENT SYSTEM IPO mzumbees nionavyo mm
msaada jamani ufaulu ni bbb