Course ipi ni bora kati ya hizi na kwa nini

monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
357
250
Wakuu naombeni msaada wenu course ipi ni bora na kwa nini kati ya Bachelor of Human Resources Management, Bachelor of Art in Natural resources Management na Bachelor of Art in International Affairs.​
 

Norton82

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
668
1,000
Kwangu Mimi naona Bachelor of Human Resource Management ni nzuri zaidi kutokana na upana wa fursa zake, kwasababu ktk organizatiob yoyote inahitaji Human Resource Officer, ikifuatiliwa na Bachelor of art in International Affairs lakini hii ni lazima uwe na ufahamu wa lugha za kimataifa si chini ya tatu ukitoa kiingereza ambacho kulingana na mfumo wa elimu yetu inakupasa ukifahamu, na mwisho ndiyo, Bachelor of art in Natural Resources Management!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom