Couples za JF ni hizi...!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,202
Reaction score
8,781
Wanajukwaa,
Jana kumetundikwa thread moja, HII-HAPA, ambayo muwasilishaji anayeenda kwa jina la Pearl alieleza anavyoota sifa za wadau mbalimbali wa hapa ndani jinsi walivyo kwa hisia zake na kwa kusoma mabandiko yao!!..mfano, (nanukuu):
na wengine weengi walioorodheshwa!

Swali: Je JF ingelikuwa ni SAYARI , ni nani na nani hapo wanakubaliana KWA SIFA na HADHI zilizobuniwa, kuwa couple?...
 
kwa mtazamo wangu ni kama ifuatavyo:
pakajimmy + WOS (familia itakuwa na adabu)
bht + balantanda (hilo halina mjadala)
pearl + drphone (imetulia)
MMK + FL1 (hawa ndugu watawaonea sana)
kigogo + birigita (mmhh)
Lilyflower + rayB (watacope)
Fidel + Maria Roza (hapa kutakesha)
Masanilo + Annina (mbona bibie atajiju)

Bado nitaendelea.......
 
Jesus!
You guys, unless if you are not serious...nitamweza wapi mimi Pearl?..mi namhisi kama yuko naniliu sana!
Mkuu PJ mnawezana sana na bibie huyo si unaona avatar yenyewe ilivyotulia
 
Xpin na pretta, makofi tafadhali..... very good couple.
 
Bht: mcheshi,muongeaji,zais ya kati,lady with dignity n principoz +Buji: mcheshi,mchekeshaji yani huchoki kuwa nae= BONGE LA COUPLE
 

Kazi ipo , baba watoto funga macho usisome hapo kwenye red, ni mtazamo tu wa Preta.
 

wewe pearl na drphone itulie drphone mbishiiiiiiiiiiiiiiii peral mjuajiiiiiiiiiiiii umeona tofauti hiyo
 
Du, Preta sasa wewe unataka kuniua!..Jimama wote mnene vile nitafanza vp miyeee?
 
Mntafuta kuchonganisha nyumba za watu. Pakajimmy utashikiliwa wewe hapo kwa kosa hilo la jinai. Usiseme sikukuambia. 😉
 
Xpin na pretta, makofi tafadhali..... very good couple.
Lily flower wifi yangu,mbona unataka kumpa mchumba wangu pretta? unanisaliti wifi yako?
Toka jana nachokozwa humu JFwanataka kututenga.
Jamani CHRISPIN & CHARITY are couples a long time ago,msituingilie na mapenzi yetu
 
Mntafuta kuchonganisha nyumba za watu. Pakajimmy utashikiliwa wewe hapo kwa kosa hilo la jinai. Usiseme sikukuambia. 😉
Noop..tuliza moyo besti!..woga wako tu na presha hiyo!..nijuavyo mimi hakuna sayari ya JF!..Bado haijazaliwa!...soma vizuri original thread!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…