Couples tusidanganyike kuzaa watoto wachache | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Couples tusidanganyike kuzaa watoto wachache

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Feb 9, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Zimekuwepo kampeni siku hizi kuwa ukitaka familia yako iishi maisha mazuri, bas couples wazae watoto wachache

  katika mazingira ya kiTz, hiyo haiapply sana coz ukizaa watoto wachache, then umewaambia jamaa zako wakurundikie watoto wao kwako (kama una maisha mazuri kidogo). At the end of the day, utajikuta na vitoto vyako viwili au vitatu, but home kwako kuna watoto 9, wa shangazi, mjomba, kaka, shemeji n.k

  Tena umejitahidi kuwalea wanao hao kwa aina ya maadili uliyoipenda wewe, but wanakuja hao wa jamaa na tabia zao za ajabu ajabu, wanachakachu za vitoto vyako..


  Lakini una watoto wako watano au zaidi, ni rare kuona ndugu anakuletea mtoto, na hata akikuletea, unaweza kukataa simply.

  Ila kwa wenye matatizo ya kiafya au ya kibayolojia wapo excempted na huu ushauri...
   
 2. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  mmh huo ushauri??
  kwanza kuzaa watoto wengi siku hizi sio fashen hata kidogo
  pili kukata kuwasaidia watoto au ndugu zako wakati una uwezo , huo ni ubinafisi , uroho na uchoyo
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  haha Tuko mada yako imenichekesha kweli kweli
  Lakini hiyo haisababishi uzae watoto kibao
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Lakini wema usizidi uwezo,au?
   
 5. Dinnah

  Dinnah JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo hupendi kusaidia ndugu? Nafikiri pia mungu ametupa uwezo tufanya malengo ya kifamilia na tukiona tu,ebaakiwa kiasi tunasaidia na ndugu zetu wasiojiweza.binafsi sioni shida kukaa na ndugu ilimradi tunafanya malengo yetu kama kawaida na kama mungu katujalia kupata watoto tuliowaomba tangu awali
   
 6. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  kuzaa watoto wengi sidhani kama ni suluhisho na kwa maadili yetu waafrika kusaidiana ni jadi yetu..
  kumsaidia m2 sio lazima ukae nae unaweza kumsaidia mtu kwa kumlipia ada akiwa huko huko aliko kama wewe hutaki msongamano kwenye familia yako ...
   
 7. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  acha uselfishness Tuko...
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  unatumia kinywaji gani vile?
   
 9. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Uamuzi wa kuwapokea au kukataa watoto wengine uko chini ya wahusika (Mume na Mke). Hakuna atakayekulazimisha kulea watoto wake kama siyo wewe mwenyewe kuweka mazingira ya kuwapokea! Just be focused, panga maisha yako, zaa watoto wachache ili uweze kuwasomesha shule nzuri!!!
   
 10. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Sio lazima ukae na hao ndugu unaowasaidia, unaweza kuwasaidia wakiwa uko uko kwao. Ila kuzaa watoto wengi mbanu!
   
 11. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,367
  Likes Received: 3,200
  Trophy Points: 280
  No, kwa sababu zozote zile kuzaa watoto wengi hapana, Dunia imeshajaa na ardhi haiongezeki, hata zile za reclamation bado ni kiduchu.

  Unaweza weka kanuni ya kusaidia ndugu huko huko walipo bila kuweka kambi nyumbani kwako, for African ni vigumu kuwatosa ndugu kabisa.
   
 12. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  umepewa uzao..umepewa uwezo wa kulea... tota hata elfu ka kidume Suleiman
   
 13. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2011
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Suala zima la kuwa na mtoto ni kuhakikisha unatimiza mahitaji yote ya kibinadamu anayohitaji mpaka atakapokuwa mtu mzima. Mahitaji kama Afya,Elimu, Malazi n.k. Sasa katika kuyatimiza haya ndio unaweza kujipanga uzae wangapi. Maana ukiangalia gharama ya mtoto mmoja mpaka aanze kujitegemea ndio utajua uzae wangapi.
   
 14. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ila huu ushauri ni mbaya kwa kweli hapa mkuu umechapia Fanya jambo kwa ajili yako na sio kuogopa ndugu
  Lakini anae ona ni busara poa tu we zaa watoto kumi uone watakavyo lala barabarani na maisha ya siku hizi   
 15. m

  mjanjamimi Member

  #15
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  U are very right watu wanadanganyika kutozaa watoto watatu wanne halafu wanaishia kutunza watoto wa ndugu ambao watakuja kuwakejeli baadae. hujakosea kwani umesema wenye matatizo utawasaidia. Huko ulaya familia zinaishia kwani unakuta wazee walizaa mtoto moja, mtoto nae kazaa watoto wawili, watoto wakaenda kuishi nchi nyingine, hapo patamu.
   
 16. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,660
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Mimi ushauri wako si ukubali kabisa, nizae watoto wengi halafu nishindwe kuwapeleka shule nzuri kwa sababu naogopa eti watoto wandugu watakuja hapana, hao ndugu zangu nitawasaidia nitakapokuwa na uwezo tu, kama sina nitawaeleza ukweli,passenger take care of your luggage bwana. Halafu hebu jiulize umezaa watoto 5 halafu kuna ndugu yako kafariki na imebidi wewe ndio ukae na watoto wake 2 si utakuwa nao 7, lakini mimi mwenye 2, nitakuwa nao 4 sasa mwenye afadhali hapo.. I say :nono::nono::nono:
   
 17. G

  GoodmorningTz Member

  #17
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Hahahhhhhh, pole zako kama excuse yako ndiyo hiyo. Kusaidia sii lazima ni hiari na willingness ya ya mtu, na kama upo willing kusaidia unaweza kuwasaidia wakiwa huko kwao sii lazima uwabebe uwaweke kwako, na sanasana ukiwabeba na kuwaweka kwako usilaumu watakapo kushukuru kwa majungu yao.
  Kuzaa watoto wengi ili kukwepa bugudha za watoto wa ndugu ni sawa na kuendeshewa life style yako na watu wengine, hapo ni sawa na wanakudrive. Panga life style yako kwanza, ya ndugu yafuate baadaye, usiishi kwa kupelekeshwa.
   
 18. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #18
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Tatizo unakuta wewe umezaa wawili, alaf ndugu anazaa 9, alaf umlelee. Alaf kusema unazaa kutokana na uwezo, mara nyingi watu wanaanza kuzaa wakiwa na uwezo mdogo. sasa ukiangalia uwezo wako wa leo, unajuaje ya kesho? alaf wengi wanazaa wachache alaf wanaishia kuwa wavuta bangi, na malay.a. kwa hiyo sio guarantee kuwa ukizaa wachache.
   
 19. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ........Kuzaa watoto wengi dunia ya leo, maisha yapo juu sana kwa sasa. Siku hizi mtoto unamvalisha disposable diapers, kuna day care bei kama nini......mtoto huyo huyo bado kumuwekea akiba aje kusoma shule bora na chuo bora. Kuna mambo mengi ya kumuhudumia mtoto ili aje kuwa na future bora, nikiorodhesha hapa nitajaza page nyingi.

  Nadhani mwenyewe unaona huko vyuoni wanafunzi wanavyopata taabu kila siku maandamano kudai kuongezewa posho. Lakini kila mzazi angezaa watoto wachache na kuweka akiba ya kuja kusoma mtoto hizi tabu zote zisingetokea.

  Hao ndugu nao labda kama wana shida, ila siku hizi bana kila mtu na mzigo wake. .....hata ndugu nao wanatakiwa kuzaa kwa mpango ili hata kama haupo duniani usiwaachie wenzako mzigo mkubwa wa kulea.
   
 20. MKURABITA

  MKURABITA JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tuwashauri hata hao ndugu zetu wajifunze kuzaa watoto wachache.
   
Loading...