Naongezea na swali la 'Cuople' ni nini?Mimi naomba tu kufahamishwa na mtoa mada 'carea' ni nini,
Vanessa hakuacha career yake sababu ya mahusiano labda ulimuelewa vibaya boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata asingekuwa na rotimi angeacha..Usijipe moyo mbona ipo wazi kabisa kaakacha muziki kaamua kutulia