A Zambian couple is getting divorced after finding out they had been secretly chatting each other up online under fake names.
Joyce, 28, and husband Tom, 36, from Lusaka, poured out their hearts to each other over their marriage troubles, and both felt they had found their real soul mate.
The couple met on an online chat forum while he was at work and she in an internet cafe, and started chatting under the names T... and Babie.
They eventually decided to meet up - but there was no happy ending when they realised what had happened.
chakushangaza wote wapo tayari kubadilika na kwenda kufanya mabadiliko kwa mtu mwingine ila sio kwa yule mtu wake wa zamani
Hata kipochi cha mkeo usipende sana kupekuapekua, usijepata kondom humo ukashindwa kujizuia kwa sababu wewe hutumii kondom lakini mkeo anatembea nayo. Si anakujali ndio maana? Sasa akipata dharura na hana kinga itakuwaje. Mke naye akipata kondom kwenye mfuko wa suruali au shati afurahie kwa kiasi fulani kwamba mwenzake kumbe anajali.
Hii inavutia!
Nimeona topic moja (ya Pakajimmy), inaweza kuwa mwanzo wa mwisho unaofanana na huu!
If I were him nisingeshika waridi...ningezuga na ishu nyingine kwanza ili nimwona huyo kimwana 'mpya' before I get myself into that hot soup!"We arranged to meet outside a Shoprite in Cairo road and both of us would be carrying a single rose so we would know the other.
Si ndio nakwambia watu hawako innovative wanamove kama robot, wewe mjanja.If I were him nisingeshika waridi...ningezuga na ishu nyingine kwanza ili nimwona huyo kimwana 'mpya' before I get myself into that hot soup!