Kwa wale wa nyimbo za country tukutane hapa, liwe jukwaa la kushirikishana mambo mbali mbali yahusuyo Music huu ikiwa ni pamoja na kushare nyimbo zenyewe wale wenye hisia za aina hii.
Kuna jamaa anaitwa john denver. Kuna jamaa anaitwa Brad paisley. Black shelton. Kenny chesney . Jonh michael. Dan seal. Alan jackson. Luke brayn. Michael ray. Keith whitley. Hao ni baadh tu ila moja kat ya ngona sichok kuiskiliza ni whiskey bullaby