Counter Maandamano!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,837
Nashauri hapa Jeshi letu la Polisi likae pembeni kama Tundu Lisu, fisadi Lowasa, Mbowe &Co. wakianzisha maandamano vipi CCM nao wakijibu kwa kuwashawishi wanachama wao pia nao wafanye maandamano kuwapinga?

Ni kipi kitatokea? Au Tundu Lisu anafikiri kwamba CCM hawana Wanachama ambao pia wanavuta bangi na kunywa viroba ambao pia wanaweza kuandamana?
 
Ebu andika kiswahili ueleweke sijapata point hapo
 
Mtoa post akili yako bora ya huyo mbwa kwenye prof yako.
 
Wewe ni cho....kooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…