platozoom kisasi kibaya
ila kwa alilolifanya binti kwa jamaa nalo ni baya
Ungempa mwenzio sababu z akusitisha uhusiano na sio bila sababu unakatisha mahusiano ghafla bila maelezo
Ila jamaa nae duh
sweetlady nakubaliana na weweMtenda akitendewa hujihisi kaonewa.....wacha apate maumivu kama aliyoyapata mwenzie wakati kamuacha bila sababu!
platozoom kisasi kibaya ila kwa alilolifanya binti kwa jamaa nalo ni baya Ungempa mwenzio sababu z akusitisha uhusiano na sio bila sababu unakatisha mahusiano ghafla bila maelezo Ila jamaa nae duh
Safi sana .....kwani alivyokuwa amefanya binti kwa jamaa ndio ilikuwa vizuri?.....kwanza huyo binti hana msimamo ndio mana yamemkuta ya kumkuta ataachanaje afu arudiane?......wacha alie na kusaga meno manake amayataka mwenyewe!
Mtambuzi nimezaliwa mrima Kiswahili na kunga zake lzinanipa tabu..ufafanuzi tafadhaliJamaa alikuwa kwenye nafasi nzuri kuacha maumbile yalipize kisasi, lakini kitendo cha yeye kulipiza kisasi, ni sawa na kutega mwimba ambao matokeo yake utamchoma mwenyewe.................
sweetlady nakubaliana na wewe
Wacha alie kwanza na ajue machungu ya kuachwa bila sababu
yeye alitikisa kiberiti sasa yeye mwenzake kakitikisa na kakitumia ipasavyo wacha kimwakie
platozoom hapo kwa sasa ni pagumu maana huyu jamaa nia yake ya kumbembeleza arudiane naye ilikuwa sio kwa mapenzi tena ila kwa ajili ya kulipiza kisasiMr Rocky Nilipoona wameachana mwanzo nikajua ni mambo ya kawaida wanapendana na watarudiana. Na kweli wakarudiana lakini baadaye jamaa alipomuacha ndio nikajua ni kisasi. Nifanye nini tena
sweetlady kabisa inaonekana dada hakuwa na sababu yoyote ya kumwacha jamaaNa inaonyesha kinamuwakia haswa lol.....mie nimependa sana maamuzi ya huyo mkaka! Na inaonyesha wala mdada hakuwa na sababu maalumu ya kumwacha mkaka ndio mana hata aliweza kumrudia..... platozoom mwache mkaka ajipe raha kwa raha zake amelipa kisasi alaah!
platozoom hapo kwa sasa ni pagumu maana huyu jamaa nia yake ya kumbembeleza arudiane naye ilikuwa sio kwa mapenzi tena ila kwa ajili ya kulipiza kisasi
Na ameshalipiza kisasi chake kurudiana tena hapo kwa kweli ni pagumu
sweetlady kabisa inaonekana dada hakuwa na sababu yoyote ya kumwacha jamaa
Alienda huko akamiss jamaa akaamua kurudi japo alibembelezwa
Mtambuzi kwa nini usione kuwa maumbile yamelipa kisasi kwa binti pia?.Jamaa alikuwa kwenye nafasi nzuri kuacha maumbile yalipize kisasi, lakini kitendo cha yeye kulipiza kisasi, ni sawa na kutega mwimba ambao matokeo yake utamchoma mwenyewe.................
Hapo kwenye red nimekununia mpaka unambie utaanza kuniogopa kwa lipi?........ platozoom kwanini huyo binti alimwacha mkaka wa watu?
Binti alishiba mapenzi.Alipendwa sana na kwa sababu alijua hivyo ukichanganya na kiburi cha kila akipita mahali anatongozwa (sura nzuri pia)..nani atamuuliza..na hata akimuuliza atamfanya nini?
Kuhusu kukuogopa mbona liko wazi............Kwa hiyo nitonye akikukosea vibaya unalipiza kisasi?