Countdown to SIMBA v YANGA showdown on 3rd October 2012

Status
Not open for further replies.

Tisha-TOTO

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
1,175
Reaction score
604
Live Feeds follow this link: https://www.jamiiforums.com/sports/332695-simba-vs-yanga-oct-03-2012-a.html


Haya haya tena kumekucha wapenzi wa kabumbu wa bongo.

Yamebaki takribani masaa 48 kabla ya kuanza kwa ule mtanange wa watani wa jadi (derby) utakaofanyika Jumatano tarehe 3 Oktoba 2012 katika uwanja wa taifa jijini Dar.

Thread hii inatoa nafasi kwa wapenzi wa soka (pro-Yanga, pro-Simba, neutrals, etc) kutoa maoni, tathmini, predictions, statistics, nk tunapoelekea kwenye mpambano huo maarufu.

It will be interesting, in particular, to see how the controversially signed players like Twite & Yondani on one side and Ngasa on the other will fair in this match - especially with all that emotional love and hatred mix from the watching crowds on the terraces!

Kutoa matusi is at your own peril kwani Invisble & co are watching!

Here we go!

UPDATES....

Dakika chache zilizopita nilikuwa nasikiliza Capital Radio walikuwa na Simba v Yanga match preview programme. Mmoja wa wachangiaji waalikwa alikuwepo "Dk" Uwesu ("mtaalamu" wa tiba asilia na mtabiri wa nyota).
Nanukuu hapa chini alichokisema "Dk" Uwesu...

"Utabiri wa mechi ya Simba na Yanga ni mgumu sana. Lakini hadi dakika hii inaonyesha Simba 2 na Yanga 1. Hata hivyo, kwa kawaida Jumatano huwa ni siku ambayo hutawaliwa na rangi ya njano. Hii maana yake nini? Tafsiri yake ni kwamba Simba watatawala sana mwanzoni mwa mchezo lakini Yanga nao watatawala sana mwishoni mwa mchezo na hivyo kinyota matokeo ya mchezo yatageuka kuwa Simba 1 Yanga 2"

Haya wadau, sisi wengine yetu ni macho na masikio tu!



Tukifungwa hatutakubali ksbb zifuatazo:-
1. Okwi wetu hajacheza
2. Maftah wetu naye ame'miss
3. Mwenyekiti wa Yanga ana hela sana

By,
Mshabiki halisi wa Mnyama a.k.a Simba.

Simba 5-Yanga 0

mnyama chali...........

Natabiri lazima kuna timu itashinda.

Mnyamaa ndo lazma ataua...

kadamibi lazima apigwe dudu kesho ....we dont lough akichezea sharuku tu anakula sita kwa nunge ..solution asilete timu uwanjani

Kutabiri! na mimi natabiri Simba 3 Yanga 0! haya update Thread utende haki!!
 
Tukifungwa hatutakubali ksbb zifuatazo:-
1. Okwi wetu hajacheza
2. Maftah wetu naye ame'miss
3. Mwenyekiti wa Yanga ana hela sana

By,
Mshabiki halisi wa Mnyama a.k.a Simba.
 
Mnyamaa ndo lazma ataua...

Mkuu, fanya tathimini kidogo basi ya ku-back hii verdict yako ili tujue ataua vipi timu yenye akina majina makubwa kama Twite & Yondani ndani?
 
kadamibi lazima apigwe dudu kesho ....we dont lough akichezea sharuku tu anakula sita kwa nunge ..solution asilete timu uwanjani
 
kadamibi lazima apigwe dudu kesho ....we dont lough akichezea sharuku tu anakula sita kwa nunge ..solution asilete timu uwanjani

Fanya katathimini kako kadogo basi mtakatifu...naona hapo juu umepiga jiwe kavu kavu mkuu..
 
Ushindi ni lazima kwa_________??!!
A. Yanga FC
B. Simba FC
 
HAYA HAYA KESHO NDIO LILE GAME MLIOKUWA MKILISUBIRIA.
PATA UCHAMBUZI WA MAMBO GANI MUHIMU YA KUZINGATIA KATIKA MCHEZO WA KESHO. GONGA HAPA

trequatista | Wix.com
 

Wadau wa Simba na Yanga mmeona "Dk" Uwesu alichokitabiri hapo juu??
 
Leo Mbuyu sijui Ubuyu lazima atie aibu tena tutampanga serengeti boy mmoja anaitwa Edward Christopher ajipigie matobo na makanzu ya bureeeee!
 
Leo Yanga msimpange Yondani msisingizie kawafungisha!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…