najua siwasaidii wala siwatishi kwa chochote kitu ila mwaka 2011 walibya walivyoamua kumuua mzee gaddafi nilijiskia kuwachukia sana wala mlibya hata awe na kiu ya kufa siwezi kumpa hata mkojo wangu hata kama nimebanwa kukojoa
Hii naona kali zaidi. Watu kuchukua fedha bilioni moja na milioni mia sita KESH kutoka benki kwenye usalama na kwenda kuzihifadhi kwenye magodoro nyumbani. Kati yao kuna profesa aliyebobea kwenye uchumi na mwanasheria aliyebobea tena kasomea Harvard chuo wanachosomea marais wa Marekani halafu anajua sheria zote za nchi.
ONLY IN TANZANIA
Halafu serikali inatuambia sisi watu wa chini tufungue akaunti benki..... nani afanye upuuzi huo waqt wenyewe wanahifadhi kwenye magodoroooo
Spika kuwalinda wezi wa mabilion toka escrow akaunt
Pinda kuchukua fomu
Jk kuvunja na kuweka rekodi mpya ya safar nyingi za nje kuliko raisi yeyote wa A. Mashariki na kati