foreign er
Member
- Jul 19, 2016
- 81
- 27
Kama nimekosea si unaniambia aisee....... Haujakamilika.... Utahitaji ushauri, utakatwa[emoji57] [emoji57]Unataka kukatwa????[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji52]
Sawa kovai, harakaharaka tu! Typing errorLugha iliyokuja na meli hii...!andika kiswahili tu utasaidiwa...nafikiri counseling
Asante ndugu.Cancelling? Nenda diploma. Tumia cheti cha form 4 kuapply diploma
Habari zenu wana_JF, form six, nmepat EES... PCM naweza kufanya nini hapo.... Au nikwende VETA nikachukue ufundi?[/QUOT
Wewe kweli PCM councelling ndio kitu gani?
Kama alivyokuelekeza nenda Diploma kwa course unayotaka, na ukifika huko pambana kiume...your future is so bright! Channel ya maisha haikamati kwa njia moja tu...zipo nyingi nyingiAsante ndugu.
Councelling ndio kitu gani kijana?Habari zenu wana_JF, form six, nmepat EES... PCM naweza kufanya nini hapo.... Au nikwende VETA nikachukue ufundi?
Correction is needed...!!!! ThanksCouncelling ndio kitu gani kijana?