Hivi R&D ni kusomesha watu PhD?? kwanini wasitumie ku-assemble team walau ndogo ya research kutatua matatizo sugu ya kijamii yaliyopo ktk continuous basis? Kuna challenges nyingi tu ktk nyanja mbalimbali nishati, kilimo,ufugaji, uvuvi, ict, etc etc..kwanini tunakuwa wadwanzi kiasi hiki?

Wakifanya hivyo pesa za kampeni na mambo mengine ya kiswahili swahili zaitatoka wapi? In Tz spending is far better than investiment!
Mkuu si pesa yote inatumika kwa hizo scholarship, mwaka huu wa fedha walitenga 60billions for R&D, lakini ni watu 200 tu ndo walikuwa wanapewa scholarship for 2010/2011, na nyingine inakwenda kwenye R&D, utaratibu wa kuongeza researchers ni mzuri sema tu wanapeana kwa kujuana!!