APA CHICAGO JF-Expert Member Oct 20, 2019 259 293 Oct 27, 2019 #1 Huyu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mali Asili na Utali. Ni mmoja wa wanasiasa smart hapa Tanzania asiyekuwa na maneno mengi yeye ni Hapa kazi tu. Hongera sana Mheshimiwa Kanyasu.
Huyu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mali Asili na Utali. Ni mmoja wa wanasiasa smart hapa Tanzania asiyekuwa na maneno mengi yeye ni Hapa kazi tu. Hongera sana Mheshimiwa Kanyasu.
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,559 142,317 Oct 27, 2019 #3 Ahsante kwa taarifa... Cc: mahondaw
Consigliere JF-Expert Member Sep 9, 2010 12,037 24,595 Oct 27, 2019 #4 APA CHICAGO said: Huyu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mali Asili na Utali. Ni mmoja wa wanasiasa smart hapa Tanzania asiyekuwa na maneno mengi yeye ni Hapa kazi tu. Hongera sana Mheshimiwa Kanyasu. Click to expand... Na huenda ukawa wewe ndiye huyo Consta nini sijui...
APA CHICAGO said: Huyu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mali Asili na Utali. Ni mmoja wa wanasiasa smart hapa Tanzania asiyekuwa na maneno mengi yeye ni Hapa kazi tu. Hongera sana Mheshimiwa Kanyasu. Click to expand... Na huenda ukawa wewe ndiye huyo Consta nini sijui...
APA CHICAGO JF-Expert Member Oct 20, 2019 259 293 Oct 27, 2019 Thread starter #7 yeddy guyy said: Umeshapata uteuzi mkuu? Click to expand... Mkuu yeddy guyy kuona kuwa matukio ya ujambazi kwa kutumia silaha za kivita kama vile benk kuvamiwa na Mabasi kutekwa vimepungua etc hadi nipate Uteuzi???
yeddy guyy said: Umeshapata uteuzi mkuu? Click to expand... Mkuu yeddy guyy kuona kuwa matukio ya ujambazi kwa kutumia silaha za kivita kama vile benk kuvamiwa na Mabasi kutekwa vimepungua etc hadi nipate Uteuzi???
yeddy guyy JF-Expert Member Mar 31, 2015 627 489 Oct 27, 2019 #8 APA CHICAGO said: Mkuu yeddy guyy kuona kuwa matukio ya ujambazi kwa kutumia silaha za kivita kama vile benk kuvamiwa, Mabasi kutekwa etc hadi nipate Uteuzi??? Click to expand... Hapana ni jambo jema tu mkuu kujua umepata uteuzi au bado.
APA CHICAGO said: Mkuu yeddy guyy kuona kuwa matukio ya ujambazi kwa kutumia silaha za kivita kama vile benk kuvamiwa, Mabasi kutekwa etc hadi nipate Uteuzi??? Click to expand... Hapana ni jambo jema tu mkuu kujua umepata uteuzi au bado.
tweenty4seven JF-Expert Member Sep 21, 2013 15,672 19,187 Oct 27, 2019 #10 APA CHICAGO said: Huyu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mali Asili na Utali. Ni mmoja wa wanasiasa smart hapa Tanzania asiyekuwa na maneno mengi yeye ni Hapa kazi tu. Hongera sana Mheshimiwa Kanyasu. Click to expand... Huyu jamaa elimu yake kapatia pale pizzeria na salmacone
APA CHICAGO said: Huyu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mali Asili na Utali. Ni mmoja wa wanasiasa smart hapa Tanzania asiyekuwa na maneno mengi yeye ni Hapa kazi tu. Hongera sana Mheshimiwa Kanyasu. Click to expand... Huyu jamaa elimu yake kapatia pale pizzeria na salmacone
Elijah O JF-Expert Member Jul 30, 2015 1,107 882 Oct 27, 2019 #11 Jamaa ni mtu humble Sana atafika mbali
McCarthy JF-Expert Member Aug 24, 2017 506 552 Oct 27, 2019 #12 "...one of the smart politician"? Ungeandika tu kwa Kiswahili mkuu.
APA CHICAGO JF-Expert Member Oct 20, 2019 259 293 Oct 27, 2019 Thread starter #14 McCarthy said: "...one of the smart politician"? Ungeandika tu kwa Kiswahili mkuu. Click to expand... Ha ha ha hutaki watu wajue na mm nimepita kwenye shule za kata mkuu
McCarthy said: "...one of the smart politician"? Ungeandika tu kwa Kiswahili mkuu. Click to expand... Ha ha ha hutaki watu wajue na mm nimepita kwenye shule za kata mkuu
APA CHICAGO JF-Expert Member Oct 20, 2019 259 293 Oct 27, 2019 Thread starter #15 Kiyoya said: Leo ndo namsikia mtu huyu Click to expand... Basi ujue ndo naibu waziri Mali asili na utali mkuu kiyoya
Kiyoya said: Leo ndo namsikia mtu huyu Click to expand... Basi ujue ndo naibu waziri Mali asili na utali mkuu kiyoya