APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 293
Huyu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mali Asili na Utali. Ni mmoja wa wanasiasa smart hapa Tanzania asiyekuwa na maneno mengi yeye ni Hapa kazi tu.
Hongera sana Mheshimiwa Kanyasu.
Hongera sana Mheshimiwa Kanyasu.