Cost ya tuition | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cost ya tuition

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kotinkarwak, Sep 2, 2010.

 1. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  natanguliza salamu.
  Katika articles na comments nyingi zinazohusu elimu, inaonekana kuwa tuition classes haziepukiki katika kutimiza msako wa elimu. Cost ya hii tuition pia imetajwa kuwa ni kero ingawaje inafahamika kuwa ni muhimu kwani elimu iliyotarajiwa kupatikana katika normal class sessions ni duni au/na isiyoridhisha.
  Nikichukulia kuwa imekuwa ni lazima kutenga fungu la pesa kwa ajili ya hili, najiuliza je kiwango gani cha hii gharama inakubalika na wengi?
  Nimetembelea tuition classes pale Mwenge (Dar) na kujionea mwenyewe jinsi hii "biashara" inavyoendeshwa na bado najiuliza kama kweli extra cost hii ni justified. Zaidi wanachofanya wanafunzi ni kunukuu materials kutoka kwenye daftari la mwalimu kwenye madaftari yao, one-to-one opportunity haipo kabisa na ukiihitaji, inahitaji pesa zaidi. Katika maongezi na wanafunzi wachache, wananiambia kuwa hapa ndio bora zaidi na sehemu nyingine bei ni kubwa au sehemu ya madarasa ni ndogo. Madarasa amabayo mwalimu anaendesha yanakuwa na wanafunzi wengi sana, inamaanisha kuwa chance ya mwanafunzi kutapa muda na mwalimu kwa maelezo zaidi haupo.

  Gharama ni kati ya TSH 5000-15000 per subject chapter au TSH6000 per day na materials zaidi (pamphlet) bei ni kati ya TSH5000-10000. Hii ndio figure niliyoipata sehemu hii.

  Wadau wanaosoma au wanao wadhamini ndugu zao, naombeni figures zenu kama ni tofauti na hizo hapo juu, pia experience zenu katika hii ishu ya tuition.

  Asanteni

  Kotin Karwak
   
 2. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Matokeo ya mitihani form four hivi karibuni yameainisha kuwa bado tuition ndio njia mbadala ya kupata elimu Tanzania. Kabla ya wahusika kurekebisha mfumo wa elimu, mishahara, mafao etc kwa walimu, kuboresha resources mashuleni bado tuition itakuwepo na kwa mzazi ikawa njia pekee yakumtayarisha mtoto wake kielimu.
  Nimeona ni'comment mwenyewe kwenye hii post ya September 2010 kwani elimu tunaikumbuka tu wakati wa matokeo ya mitihani kabla ishu nyingine kabambe hazijawa "NEWS" of the day.
  Will be back again in 2012 God willing to comment.
   
Loading...