Cost Ya Line Ya AirtelMoney

Cost Ya Line Ya AirtelMoney

Kimbakuli

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
410
Reaction score
437
Habari Wakuu, Mwenye ufahamu na gharama na kupata line ya airtelmoney naomba anifahamishe pls. Thanks
 
guys, mpo wapi bana, mbona km wanajukwaa hampo active leo, no respons@ all, naomben msaada wa kujuzwa hili p'se wadau
 
Kwa kuzipata kutoka kwa mtandao husika ni vigumu mno vinginevyo uwe na MTU pale. Lakini nyingi zinapatikana mitaani kwa watu walio fulia hata hivyo bei zao ni kati ya laki 5 na milioni.
Fanya utafiti au kwa njia rahisi wapigie mtandao husika..
 
Pleo km unazngua ivi hahahaa.. bt anywy kwny jamii lazma muexist watu km nyie pia, Thanks 2Tindikali, Matendo n' Others
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom