Haha watanzania bana hatupendi kusomaSoma tangazo uelewe vzr. Vigezo vipo hapo Accounting.
Ni kwelitangazo limejieleza kila kitu,,, watanzania wengi wao ni wavivu,,, tunapenda kutafuniwa tu
Tatizo ni lugha mkuu..Haha watanzania bana hatupendi kusoma
Chief kwangu lilikuwa halijafunguka ndio maana nikauliza sikuwa mjinga nilipouliza.Haha watanzania bana hatupendi kusoma
Ahaa sory MkuuChief kwangu lilikuwa halijafunguka ndio maana nikauliza sikuwa mjinga nilipouliza.