Cost of electricity per unit in EAC

Project nzuri lakini
Wewe jamaa kama kweli huyo kwenye Avatar ni wewe inaonekana una hekima sana na ni mwerevu kuliko makaka zako japokuwa una umri mdogo..nafuatilia baadhi ya comments zako naona sio mtu wa kukurupuka unabishana facts kwa facts na hukimbii swali sio kama hawa raia wanaoishi kibera kina Janerose mzalendo,MK254 vulcan na wengine ambao nadhani effect ya utapiamlo udogoni inajionesha waziwazi kwenye michango yao..
 
Unamchanganya tu hajawai kutoka nje ya nchi zaidi ya kula funza kibera tu
 
Watu wanayeishi kibera sio binadamu Kama sisi?
Wengi akili zao hazina hekima hawawezi kujadili kwa kutumia hoja ukitaka uone maajabu..fuatilia thread za kaka yako MK254 anazozianzisha mara sijui uchawi Tanzania,mara mafuriko Tz vitu ambavyo ni common hata Kenya tena sio kenya dunia nzima kwa akili ya kumcheka jirani anatembea na kibwaya wakati wewe upo uchi ni ukosefu wa akili huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…