Mimi ndo niliuliza swali kwanza, nipatie projected/expected cargo kwa SGR tz ya kila mwaka kuanzia ile siku itamalizwa kujengwa...Leta official link inayosema mombasa port inapakua 30million tons kila mwaka alaf tuendelee
mimi nataka prejected cargo kwa SGR Tz, not Dar portNasubiria alaf mm nikuletee ushahidi kua dar imepakua 20m tons last yearπππ
Huwezi ukaniambia mombasa imepakua 30m tons wakat ni uongo alaf tuendelee kujadiliana unapotoa hoja toa hoja na evidenceππππmimi nataka prejected cargo kwa SGR Tz, not Dar port
Sasa Kwa upande mmoja unasema ni Jambo la kawaida na Kwa upande mwengine unataka kujua jina la kampuni.Basi hapo mbona ni vitu vya kawaida.....ambavyo hata huku hufanyika..,,au kwako ni kitu cha ajabu.....?..
Halafu naimba unipe official source inayoonyesha kuwa main contructor wenu ameajiri sub company ya uzawa kwaajili yakutengeneza mitaro nataka niifahamu hiyo company
Au mushapika data tayariππππMimi ndo niliuliza swali kwanza, nipatie projected/expected cargo kwa SGR tz ya kila mwaka kuanzia ile siku itamalizwa kujengwa...
Anyway, ili usipate sababu hii hapa kutoka KPA
In the year 2017 the Port handled a total cargo throughput of 30.35 million tons up from 27.36milllion tons handled in 2016. This represented a remarkable growth of 10.9 percent. Imports recorded athroughput of 25.60 million tons up from 23.12 million tons, giving a substantial increase of 10.8 percent.
Exports passing through the Port also increased from 3.66 million tons handled in 2016 to3.79 million tons.
Transit traffic to the region recorded 8.64 million tons in 2017 compared to 7.75 million tons in 2016.
Container traffic registered a performance of 1.190million TEU'S up from 1.091TEUs handled in 2016, representing a growth of 9.0 percent. This growth is way above the international average of 5 percent.
Remarks by KPA Acting Managing Director Dr. Arch. Daniel Manduku during stakeholders luncheon on September 19,2018
---Kuna PDF nzima ya KPA pia kam unataka, inaonyesha cargo throughput tangu 2008 na pia inaonyesha projected cargothroughput hadi 2030.....
More bullcrap kama kawa, umekua hauna jibu huu mda wote unatafuta escape route sasa kaipata!Au mushapika data tayariππππ
Nataka kujua wewe nijuze tu,,,,,,ili nifahamu....kuuliza si ujingaSasa Kwa upande mmoja unasema ni Jambo la kawaida na Kwa upande mwengine unataka kujua jina la kampuni.
Najua yepi alileta mitambo ya kuvunja kokoto mwenyewe ili kupunguza gharama ya ujenzi
Halafu angalia tofauti ya mifereji! Kwetu zege linamiminwa wakati kwao wanapanga mawe!Huyu alieleta hili wazo la kupanda majani ana stahili pongezi. watapanda kwenye njia nzima, unaua jiwe moja kwa ndege wawili. Achilia mbali kulinda tuta ili unatunza mazingira pia. Hapo ukiwa safarini ata ukitupa jicho njee una refresh akili kwa kutizama ukijani huku ukipata fresh air, kuliko kwa wengine njiani unachoka maana njia nzima unaona ma cement tu! [emoji1] View attachment 962888
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Anyway,
phase 2A drainage works at +km 46 (kampuni za Kenya za kibinafsi ndo hupewa kandarasi za kujenga mitaro as part of local content)
Kweli!! Tena nilikua sija angalia vizuri tuta lao wanalilinda kwa mawe na kokote! No wonder mvu ili fanya yake.. huo ujenzi wa kupanga mawe ni very cheap. Hilo zege lilo wekwa na Yapi ni mkataba. Compare and contrast, the beautiful and the ugly [emoji23]Halafu angalia tofauti ya mifereji! Kwetu zege linamiminwa wakati kwao wanapanga mawe!
Matokeo yake
Wapumbavu humu ndani! hudai Chinese first class! Halafu mifereji haipo smooth haijanyooka na pia mawe yamepangwa!Kweli!! Tena nilikua sija angalia vizuri tuta lao wanalilinda kwa mawe na kokote! No wonder mvu ili fanya yake.. huo ujenzi wa kupanga mawe ni very cheap. Hilo zege lilo wekwa na Yapi ni mkataba. Compare and contrast, the beautiful and the ugly [emoji23] View attachment 962900View attachment 962902
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kila section inapewa sub contractor flani kwahivyo hauwezi ukawajua wote....Nataka kujua wewe nijuze tu,,,,,,ili nifahamu....kuuliza si ujinga
Happ kando ya hzo picha vibanda aiseeVituo vya SGR vya soga na pugu vikiwa vinaendelea na ujenzi, alaf nimegundua hawa yapi markezi kama wanatumia high technology kujenga hvi vituo sijui watanzania mumegundua hicho kitu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 962530View attachment 962531
Sawa kwa hiyo hizo kampuni zinamilikiwa na wazawa wa kikenya?Kila section inapewa sub contractor flani kwahivyo hauwezi ukawajua wote....
Lakini ntakupatia mifano kadhaa.... Kuna hii kampuni Greenersol Landscape, hao ndo walifanya kazi ya slop protection ya mtito andei station pamoja na drainage for 40km.
Standard Gauge Railway (SGR),Mtito Andei Station.
-Slope stabilization, drainage installation and landscaping-40km section. China Rd and Bridge
Projects List - Greenersol Landscape
Kuna hii kampuni nyengine nayo inaitwa Headstream Construction Co. Limited hao pia walipewa 30km
Ichoboy ameshagundua tayari..high technology in africa..hyo itakuwa fact tayari kw nyumbu wenzieAngalia post kama hii Kwa mfano.... eti " alaf nimegundua hawa yapi markezi kama wanatumia high technology kujenga hvi vituo "
Eti high technology... Hio ndo nini haswa??? Alafu kama kawa mtz mwenzako atalike na ku comment kitu kuhusu SGR Kenya alafu nyote mtaamua hakuna technojia kama hio Africa nzima.. blah blah ...
In reality hakuna lolote mnalojua kuhusu hivyo vituo exept render ya hicho kituo....
Mimi kwa SGR Kenya naeza kuambia hata ratio na Aina ya mchanga na density ya simiti iliotumika kulingana na kituo, naeza nikakwambia nguzo zilichimbwa Chini kiasi gani..etc
I see now is electrified mtungi wa chang'aaAnyway,
phase 2A drainage works at +km 46 (kampuni za Kenya za kibinafsi ndo hupewa kandarasi za kujenga mitaro as part of local content)
First class my foot! Huko china inaitwa slow train, mazuzu wamepatikana. Tz SGR hii kweli European standard mtu unakatisha Singida ila ukitupa jicho unakutana na nyasi za Santiago bernabeu [emoji1]. Itafika kipindi ukiwa na stress Dr anakwambia kapande train nenda Dom kisha rudi Dar utakua sawa.Wapumbavu humu ndani! hudai Chinese first class! Halafu mifereji haipo smooth haijanyooka na pia mawe yamepangwa!
Ameongea..kumbe si factHuyu hapa mkenya ameonge point nzuri sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupe wewe fact πππππAmeongea..kumbe si fact