makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,633
- 109,041
Ulete mrejesho ukifika mkuuMachache ninayoyaona kwenye sgr, toka moro kwenda dar.
Kwanza warekebishe mfumo wao wa ukataji tiketi kuna ka changamoto website yao kuna muda huipati, na unakata siti 4A, Kisha inakuja kuonekana ni namba 10 badala ya 4A.
Pili wabongo tujifunze/tupendelee kukata tiketi online, masuala ya dirishani yamepitwa na wakati, mpaka treni inakaribia kuondoka watu wengi hawana tiketi imebidi wapande hivyo hivyo wanakuja kukatia ndani ya treni huu ni uhuni.
3 hapa sijui mie ni mshamba, nimezoea treni ya deluxe ile na mabasi, hata ile ya tazara, viti vilivyokaa unapotizama mbele ndio uelekeo wa treni, sasa humu nimekaa siti zinaangalia mbele, kisha treni inakwenda nyuma, kama navutwa vile 🤣😂😂
Muda wa kuondoka tumeondoka muda ule ule ulioandikwa, sijajua muda wa kufika tutashare.
Mimi naona Masanja anapwelea viatu vya management!Machache ninayoyaona kwenye sgr, toka moro kwenda dar.
Kwanza warekebishe mfumo wao wa ukataji tiketi kuna ka changamoto website yao kuna muda huipati, na unakata siti 4A, Kisha inakuja kuonekana ni namba 10 badala ya 4A.
Pili wabongo tujifunze/tupendelee kukata tiketi online, masuala ya dirishani yamepitwa na wakati, mpaka treni inakaribia kuondoka watu wengi hawana tiketi imebidi wapande hivyo hivyo wanakuja kukatia ndani ya treni huu ni uhuni.
3 hapa sijui mie ni mshamba, nimezoea treni ya deluxe ile na mabasi, hata ile ya tazara, viti vilivyokaa unapotizama mbele ndio uelekeo wa treni, sasa humu nimekaa siti zinaangalia mbele, kisha treni inakwenda nyuma, kama navutwa vile 🤣😂😂
Muda wa kuondoka tumeondoka muda ule ule ulioandikwa, sijajua muda wa kufika tutashare.
Asieweza akae kando twende na wengine, mambo ya kisasa lazima twende kisasa.Mimi naona Masanja anapwelea viatu vya management!
Ni aibu mradi mkubwa namna ile wanashindwa kuwezesha kununua tiketi online!Asieweza akae kando twende na wengine, mambo ya kisasa lazima twende kisasa.
Asieweza akae kando twende na wengine, mambo ya kisasa lazima twende kisasa.Mimi naona Masanja anapwelea viatu vya management!
Unanunua lakini kuna changamoto kidogo.Ni aibu mradi mkubwa namna ile wanashindwa kuwezesha kununua tiketi online!
Tuliondoka Morogoro saa 2:50 asubuhi na dar es salaam tumefika saa 10:35. Wamefanya vizuri kwenye suala la muda.Machache ninayoyaona kwenye sgr, toka moro kwenda dar.
Kwanza warekebishe mfumo wao wa ukataji tiketi kuna ka changamoto website yao kuna muda huipati, na unakata siti 4A, Kisha inakuja kuonekana ni namba 10 badala ya 4A.
Halafu waachane na masuala ya kuprint ticket, mie nishakata ticket online naambiwa ni print trna mkaratasi, mambo ya hovyo haya
Pili wabongo tujifunze/tupendelee kukata tiketi online, masuala ya dirishani yamepitwa na wakati, mpaka treni inakaribia kuondoka watu wengi hawana tiketi imebidi wapande hivyo hivyo wanakuja kukatia ndani ya treni huu ni uhuni.
3 hapa sijui mie ni mshamba, nimezoea treni ya deluxe ile na mabasi, hata ile ya tazara, viti vilivyokaa unapotizama mbele ndio uelekeo wa treni, sasa humu nimekaa siti zinaangalia mbele, kisha treni inakwenda nyuma, kama navutwa vile 🤣😂😂
Muda wa kuondoka tumeondoka muda ule ule ulioandikwa, sijajua muda wa kufika tutashare.
Insikitika sana treni yao walijaa wachina tuu, eti kufundishwa kuendesha treni mpka ujifunze kichina , daaaa wakenya bhanaSisi tunajitambua mkuu
Nafikili treni ya kenya ipo hivyo hivyo ndani
🤣🤣🤣Sgr hiyoo, muda si mrefu utasikiaaa yalaaaahhh
Ova
Huvi unategemea mradi unaendeshwa na serikali
Ukafanikiwa 😄
Huu mradi hauta maliza hata miaka 2 chalii
Ova
aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣
Dua la kuku halimpati mwewe 🤣🤣🤣aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣