Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

hawa jamaa tumewapiga bao sana 😂😂😂. wanaangalia sura wakati hata mbuzi anayo 🤣
 

View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1789299405247365236
 
Buddah are you sick!?🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🤣🤣🤣😆
China ina mtandao wa reli wa zaidi ya 800kms mzee tena ya electric trains na husafirisha watu na mizigo.
Je hiyo imekaaje!?
Tanzania kutoka ukanda wa wa pwani(Dar es salaam,Bagamoyo) kwenda kanda ya kati na kanda ya ziwa usafiri mkubwa unaotumika ni wa reli.
Pia mizigo mingi kuja na kwenda Tanzania hutokea kati ya kanda ya kati,pwani na ziwa hivyo ni lazima utumiaji wa reli.
Reli hii itarahisisha mizigo itokayo kanda ya ziwa kuja kanda ya kati na pwani kiharaka na wepesi.
Pia usisahau reli ya kwenda Uganda ilifufuliwa,hivyo hii pia itasaidia katika ufikishaji mizigo Uganda kiwepesi na kiuharaka.
Embu kaifuatilie reli ya China uone mtandao wake ulivyo mrefu wa kutumia treni za umeme kuliko mtandao wowote Afrika kesha urudi.
 
🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🤣🤣🤣🤣We makalio.
Mbona unatulisha maneno!?
Nani amekuelewa!?
Mbona unalazimisha watu tukuelewe!?
Kenya wivu wake na uzandiki wake ndiye aliyesababisha collapsing of EAC 1970s.
Hivi unalijua hilo!?
Alileta sera za kiuchumi ambazo zilileta mzozo wa kuhodhi mali za jumuiya ya Afrika Mashariki.
Je unalijua hilo!?
Usitulazimishe tukuelewe buddah.
Usitulishe maneno bhanaaa!
 
hawa jamaa tumewapiga bao sana 😂😂😂. wanaangalia sura wakati hata mbuzi anayo 🤣
View attachment 2988501
hawa jamaa tumewapiga bao sana 😂😂😂. wanaangalia sura wakati hata mbuzi anayo 🤣
View attachment 2988501
Pumba tupu eti 18 tones
Eti dar - Moro
Ni mjinga gani ameandika huu upupu ????
Malaba - Kampala imejengwa ?? ela hakuna, mkandarasi hayupo site !!!
Nini kilimkataza Huyo mjinga kuandika Dar - Tabora - Mwanza - kigoma - msongati ?Kama anajumlisha na reli iliyo Kwenye mipango
Mpaka sasahivi Tanzania imejenga kilometa nyingi kuliko Kenya almost 1000+
Uganda hajajenga Hata mita 1 ya Sgr .
Nani .
Mwambie huyo ndugu yako asiandike Tena huu upuuzi kama hajui aulize .
 
ndio ujue kwamba your sgr is inferior.
18m tonnes per annum (maximum) wakati Kenya ana uwezo wa kupitisha 35m tonnes/ annum.
 
Amka usingizini
Dar - makutopora 750+ kms ( 100% completed)

Mwanza - isaka 320 + kms ( more than 51% completed )
Makutopora - Tabora
250 + kms ( more than 67% completed )
Correction** Dar - Mukatupora = 550km 👇


hapa tunaongelelea Complete Projects only. sio mambo ya kubahatisha ya 'nasikia' au 'itakuwa, itakuwa'..... cut that bullcrap! 😩😩🚮🚮
wacha nikukumbushe tu tulipotoka 👇
 
ndio ujue kwamba your sgr is inferior.
18m tonnes per annum (maximum) wakati Kenya ana uwezo wa kupitisha 35m tonnes/ annum.
View attachment 2988825
Ngoja upate elimu kidogo.
Tanzania Ina reli nyingi kuliko kenya
Projection ya 18 milion tons maanake Hiyo ni Sgr central corrridor alone kulingana na Mahitaji ya nchi husika DRC, Burundi , Rwanda na Uganda .
Mahitaji yakiongezeka reli haina limit ya kupitisha mizigo
Kuna central corridor mgr , Tazara southern corridor ya Zambia , plus trucks carrying cargo to Malawi and DRC Lubumbashi inakuwa almost 15 millions tons .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…