We tunajua umesomea kila aina ya career uko na PHD ya "Doctor of Philosophy in Ujinga" , you clearly cannot be taught anything, next week nitakuona kwa mada nyengine ukidai wewe ni economist na hakuna mtu anaweza kukushinda kwa utaalam wa kiuchumi..... Mwanzo si ni last month tu tukiongea mambo ya Axle load ulisema siwezi kufunza lolote kuhusu railway engineering manake wewe ni mtaalam wa railway enginnering???R u trying to teach a PO + QA + SCRUM master person on software testing? hold ur horses right there!
Yani ameongelea points zote nilikua napitia list yake nangojea hapo pa mizigo, kumbe ameacha the most important part!Mwisho wa siku inabeba more cargo at 22M, currently tunaelekea 6m within 4yrs
Am sure your sgr iyo 17m teus haitawahi fikisha milele.
Mambo ya stima ata Ethiopia wako nayo but still inferior to Kenya.
Mkuu hapo kwenye speed Kenya passenger diesel train haifiki 120kph hiyo ni speed ya kwenye makaratasi tu, wkt Tz passenger inazidi 160kph.Superior in what
Rail materials quality:
Kenya chinese steel vs Tz Japanese steel and mind you Japanese steel is only second to British steel globaly.
Rail joints:
Kenyan sgr jointed rail vs Tz continuous welded
Signalling:
Kenya chinese standard vs Tz European standard
Mode of propulsion
Kenyan diesel powered vs Tz electric powered.
Tonnage:
Kenyan 25 tons per axle vs Tanzania 35 tons per axle.
Speed:
Passengers; Kenya 120kph vs Tz 160kph
Cargo; Kenya 80kph vs Tz 120kph.
Sasa tuambie Kenyan sgr is superior in what terms?
MGR yetu iko vizuri kuliko diesel SGR yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa Nani achague kubeba mizigo yake kwenye treni ambayo inaspidi ndogoYani ameongelea points zote nilikua napitia list yake nangojea hapo pa mizigo, kumbe ameacha the most important part!
MGR yenu haijawai kushinda ya Kenya kwa total tonnage p.a hivyo hivyo ndo inaelekea kua kwa SGR.. Its as simple as that.MGR yetu iko vizuri kuliko diesel SGR yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tofauti ni ndogo sana, at most utakuna maybe ni 3 hour difference kwenye distance ya 700kmSasa Nani achague kubeba mizigo yake kwenye treni ambayo inaspidi ndogo
Aisee sijawahi ona die hards kama kenyans wanabisha facts bila hata aibu au basis yoyote.Mwisho wa siku inabeba more cargo at 22M, currently tunaelekea 6m within 4yrs
Am sure your sgr iyo 17m teus haitawahi fikisha milele.
Mambo ya stima ata Ethiopia wako nayo but still inferior to Kenya.
Yafaa ulinganishe hiyo MGR yenu na ya Tz. Kwamba ipi ilikuwa inapiga mzigo mwingi toka mwanzo. Hapo kunya usafiri wa reli umeanza kupigiwa chapuo baada ya kujenga hiyo Chinese class railway, wakati sisi MGR ilikuwa inapiga route Kigoma na Lake zone since kitambo. Na ikianza SGR ndio kabisa Kwa ukanda huu hiyo rail itaongoza Kwa kubeba mzigo mwingi.MGR yenu haijawai kushinda ya Kenya kwa total tonnage p.a hivyo hivyo ndo inaelekea kua kwa SGR.. Its as simple as that.
Kabisa mkuu, unaweza kuona jinsi rail truck na tuta limekaa Sawa. Ni kama hiyo Chinese class wanayoita SGR.MGR yetu iko vizuri kuliko diesel SGR yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
17m or 22m is a matter of frequency, axle loads and speed of which Tz sgr is better on those factors than KE sgr. We had an expexted figure of 17m tons but this does not mean Tz sgr cannot haul 30m tons pa.Yani ameongelea points zote nilikua napitia list yake nangojea hapo pa mizigo, kumbe ameacha the most important part!
MGR ya Mombasa Nairobi haijawahi kuacha kazi...... Labda unaongelea ile ya kwenda Kisumu...Yafaa ulinganishe hiyo MGR yenu na ya Tz. Kwamba ipi ilikuwa inapiga mzigo mwingi toka mwanzo. Hapo kunya usafiri wa reli umeanza kupigiwa chapuo baada ya kujenga hiyo Chinese class railway, wakati sisi MGR ilikuwa inapiga route Kigoma na Lake zone since kitambo. Na ikianza SGR ndio kabisa Kwa ukanda huu hiyo rail itaongoza Kwa kubeba mzigo mwingi.
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
If kenyan cargo train travels at top speed of 80kph this will average a speed of 50kph per trip same as out MGR before revamp. Tz cargo trains with top speed of 120kph will average a speed of 100kph per trip this means tz cargo train will spend 7 hours on 700km stretch while kenyan cargo train will spend 14 hours on a same stretch. This is to say tz cargo trains travel at twice the speed of kenyan cargo trains hence more cargo hauled per annum.Tofauti ni ndogo sana, at most utakuna maybe ni 3 hour difference kwenye distance ya 700km
Wakati on the other hand, curtesy of SCC user, wastani wa mda unaochukuliwa na kontena kutoka pale inaposhukishwa bandarini hadi pale unapotoka bandarini na kuanza safari - Kenya ni siku 5 wakati Tanzania ni siku 7, hizo ni siku mbili, yani 48 hour head-start! hata kama SGR yenu ingekua ina speed ya 600km/hr (fastest train in the world) bado ingeshindwa na ya kenya kwenye speed ya kufikisha mzigo kwa mteja punde unapoingia bandarini....
View attachment 1949876
Well, so hypothetically if there is no data it means the train doesn't ferry any cargo right?MGR ya Mombasa Nairobi haijawahi kuacha kazi...... Labda unaongelea ile ya kwenda Kisumu...
Anyway, Usiongee tu, onyesha takwimu za MGR yenu ilibeba mizigo mingapi tumalize huu mjadala asubuhi ya mapema
Keshapagawa huyu ameanza kuwehuka [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tofauti ni ndogo sana, at most utakuna maybe ni 3 hour difference kwenye distance ya 700km
Wakati on the other hand, curtesy of SCC user, wastani wa mda unaochukuliwa na kontena kutoka pale inaposhukishwa bandarini hadi pale unapotoka bandarini na kuanza safari - Kenya ni siku 5 wakati Tanzania ni siku 7, hizo ni siku mbili, yani 48 hour head-start! hata kama SGR yenu ingekua ina speed ya 600km/hr (fastest train in the world) bado ingeshindwa na ya kenya kwenye speed ya kufikisha mzigo kwa mteja punde unapoingia bandarini....
View attachment 1949876
Hapa bado hatujaongelea inachukua mda gani kupakua contena zote kutoka kwa meli... Kenya na Tanzania hutofautiana kwa masaa tisa .... Yani kama meli mbili (moja iko Dar nyengine iko Mombasa) zinahitaji kishukisha kontena kama 5,000, itachukua masaa tisa zaidi kwa bandari ya Dar kushukisha mizigo hio hio ambayo itashukiswa na bandari ya Mombasa!
Kwahivyo hata kama mzigo wa SGR Tanzania utapelekwa na speed ya 600 km/hr utakua ni atleast 2 days late to the race!
Imagine wewe ni Kipchoje bingwa wa marathon ulimwengu alafu unafika kwenye mashindano 3 hours late wakati wenzako ambao si mabingwa huchukua chini ya masaa 2:30 kumaliza marathon... Je, wewe kama Kipchoge bado utajipa moyo uanze kukimbia ama utafunga virago vyako na urudi nyumbani manake marathon ilishaisha na mshindi kashatangazwa?
Itakua kweli niloona wode maya akiwa kunyaland alisema Kenya sgr train ni sawa na China slow trainMkuu hapo kwenye speed Kenya passenger diesel train haifiki 120kph hiyo ni speed ya kwenye makaratasi tu, wkt Tz passenger inazidi 160kph.
Frequency is not just about increasing the number of trains..... You see you don't just begin with axle load or Horse Power etc... They start with how much cargo do you need to be transporting per year and what type of cargo will it be...17m or 22m is a matter of frequency, axle loads and speed of which Tz sgr is better on those factors than KE sgr. We had an expexted figure of 17m tons but this does not mean Tz sgr cannot haul 30m tons pa.
What Tz passenger train is this ambayo inazidi 160km/hr 🤣 🤣Mkuu hapo kwenye speed Kenya passenger diesel train haifiki 120kph hiyo ni speed ya kwenye makaratasi tu, wkt Tz passenger inazidi 160kph.
Katafute story ya Wode Maya, the whole reason Wode Maya alifukuzwa China ni kwasababu ya hio video... Anasema alipewa $10,000 USD aje afanye hio video na alipewa script ya kile atakachosema! Akatimiza yote except for one part ambapo aliambiwa aseme wakenya walikua wanatumia Giraffe kama means of transport kabla wachina watujengee SGR!Itakua kweli niloona wode maya akiwa kunyaland alisema Kenya sgr train ni sawa na China slow train