Nani mdogo wa mwingine? Nyie ndio wadogo wetu.Ngoja tuache kujadili humu si mahala pake kuna uzi wake humu utafute,Hakuna watu weupe kama nyinyi Wakenya,ukikamata Nairobi na Mombasa kwisha,Kwanza mna njaa nchi kame eneo kubwa ni semi arid tunaweza kuamua kuficha chakula tu..mkafa..pia uchumi wote ukaharibika kbs kitu cha Hyper Inflation..kwny mazao ya chakula,Hivi ushaskia Kenya wakijinasibu kwny swala la stock ya chakula...mtaagiza mpk pumba mchemshe..mkitaka kusimama na sisi mguu kwa mguu.Tanzania ndio kiongozi kwny hii Afrika mashariki sema ni kiongozi mpole asiyependa tambo na ana mapenzi ya dhati na wadogo zake wote,Sema mdogo wake Kenya ana kiburi kiburi wakati mweupe tu hana kitu pia sometimes haelewiki anapokutana na wazungu mshobokaji sana.
Miradi isiyo na plan! Unajenga barabara na SGR bila groundwater and geothechnical survey!
Yes, wewe leta idadi ya Regestered Engineers na sisi tukuwekee, tena tumewapita kwa mbali sanaHahaha. Eti Tanzania ina engineers wengi kushinda Kenya. Una evidence kuprove utopolo huu ulioandika?
Tunajua Jeshi la Tanzania lina ndege 34. Tanzania is a big joke. Ndege 34 wakati sisi tumetinga ndege zaidi ya 130Hamjielewi hamuwezi kujua Tanzania inandege ngapi
Wakenya wengi wamebobea kwenye masomo ya Arts (hususani Ualimu) na kidogo business lkn science ni kidogo sn, so hawawezi kuwa juu yetu kwenye number of engineers ila akileta ushahidi naomba uni tag [emoji3][emoji3][emoji205][emoji205]Yes, wewe leta idadi ya Regestered Engineers na sisi tukuwekee, tena tumewapita kwa mbali sana
MY TAKE
while Morogoro-Dodoma-Makutupora is over 47% done, 2 tunnels r completed while 2 more over 58% done!
story za kijiweni peleka githurai[emoji16][emoji16]Mlishapata zile silaha magaidi waliwanyang'anya kule Mtwara[emoji23][emoji23]
sijajua ila inawezekana wewe unajua zaidi,,,hivyo unaweza kujipa jibu......Kwhyo hata katia order mnaficha ndio suppliers pia wasijua[emoji1787][emoji1787]
kwa evidence gani alizotoa ,,za link ?...nawe unaanza kuchanganyikiwa,,,,Kafrican amekujibu kwa evidence halafu umeanza tabia ya kihuni ya kuhamisha goal- post. Ndio maana huwa siargue na Watanzania wazimu kama wewe.
This is what is called " Jealous"View attachment 1637419
Am no expert but basic physics gets me worried, This warping is not good!
Umezihesabu wapi kweli huna akiliTunajua Jeshi la Tanzania lina ndege 34. Tanzania is a big joke. Ndege 34 wakati sisi tumetinga ndege zaidi ya 130
Kwani Jamuhuri ya Watu wa Kenya imepata uhuru lini kaka 😃 mkiendelea hivi tutaanza na kuwakwea makonzi kbs,Heshima ya kaka na mdogo iko wapi sasa🤷🏾♂️Nani mdogo wa mwingine? Nyie ndio wadogo wetu.
Sio hilo tu haiwezekani Kenya iite tz mdogo wake wkt ukubwa wa tz ni two times Kenya.Kwani Jamuhuri ya Watu wa Kenya imepata uhuru lini kaka [emoji2] mkiendelea hivi tutaanza na kuwakwea makonzi kbs,Heshima ya kaka na mdogo iko wapi sasa[emoji2377]
Your approach to basic issues is typical of a very narrow and small mind.This is what is called " Jealous"
kwani wewe ni mjinga kiasi gani kutojua there is still levelling work to be carried out aside alignment, compaction and another level of gravel on top before joints welding?View attachment 1637419
Am no expert but basic physics gets me worried, This warping is not good!
Yes, wewe leta idadi ya Regestered Engineers na sisi tukuwekee, tena tumewapita kwa mbali sana
Your approach to basic issues is typical of a very narrow and small mind.
what has jealousy to do with anything? Its physics 101. Your ride is safer and more comfortable if the road is smooth. the same goes for rail, so does calm waters for ships and clear skies for planes.
Kenya haiwezi fikia idadi ya Engineers Tanzania, weka idadi ya Kenyan registered Engineers na tukuletee ya TanzaniaUnaongelea waganga ama engineers juu the last time I checked Kenya had twice the number of Engineers as Tz.
Nimekuambia Kenya has 2 times the number of Engineers as Tanzania. Kama unapinga leta ya Tanzania alafu nilete ya Kenya.Kenya haiwezi fikia idadi ya Engineers Tanzania, weka idadi ya Kenyan registered Engineers na tukuletee ya Tanzania
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Fool, stop arguing without evidence.Unaongelea waganga ama engineers juu the last time I checked Kenya had twice the number of Engineers as Tz.