Ntakuelezea kidgo about this..Mtwara Kuna Gas sehemu mbili..Onshore na off shore
Gas ya offshore ndo nying kuliko on shore almost 80%..ya gas iliyogunduliwa Tz..hii has haijanza kutumika bado kwa matumizi yoyote..ndo mipango..ilikuwa hyo kujenga ma LNG etc
Gas ya onshore najua iko mnazi bay..ambayo wachimbaji wakubwa ni kampuni ya Wentworth..ambapo TPDC pia wana hisa humo wentworth...hii gas ndo inayotumika..kwenye mitambo ya Kinyerezi 1 n 2 kuzalisha umeme...
Gas nyngne iko songo songo island..hyo nayo inachimbwa na inazalisha umeme
Watakachokuja kufanya kwenye hio MSE wall ni kuanza kujenga kuta on both sides halafu katikati watajaza udongo, sub-balast and ballast layers and then watatandika reli. Patakuwa na gradient ya kupandia na kushukia kwenye viaduct.
Kama unakumbuka hilo eneo lilikua tepe tepe sana ndio maana wanaipa hio foundation ya MSE wall mda, sio kwa sababu ya ugumu wa kazi yenyewe, Kitu ambacho bado sijaelewa ni upade wa pili kuelekea Mandela road kama nako watatumia same approach ya MSE wall au watatumia method ya height graduated piles and beam.
Kule Vingunguti na Majumbasita ni kama wataweka underpasses ndogo ndogo kwa jailli ya magari.
kwa maneno haya tunaona kwenye gesi na kwenye bandari ya bagamoyo kote Magu kawapiga chini wachina. Pia nilisoma mahali kuwa Exxon Mobile nao walikuwepo kwenye utafutaji wa gesi huko kusini, ila awamu ya tano ilipoingia wakasepa.mradi wa gas ya mtwara ulijengwa kwa mkopo wa china kwa $1.2 billion ila saiz ipo chini ya TPDC (wapo watatu, ila kurahisisha mambo tunamtambua TPDC kama muhusika) .. pale kinyerezi kuna kituo cha TPDC ambacho ndicho kinauza gas kwa TANESCO kwenda kwenye hizo plants 1&2
Hiyo gesi ya offshore ambayo ni nyingi, kwa nini haijaanza kutumika?Gas ya offshore ndo nying kuliko on shore almost 80%..ya gas iliyogunduliwa Tz..hii has haijanza kutumika bado kwa matumizi yoyote..ndo mipango..ilikuwa hyo kujenga ma LNG etc
Yeah..i meant kwenye hii mnazi bay wells ...TPDC ana hisa na huyo wentworth ana hisa..kama sijakosea huyo mwingine naye aliuza..kwa wentworth.....serikali ya china under exim bank walitoa mkopo wakujenga Gas pipeline peke yake hawana issue kwenye Gas field yoyote...TPDC hana hisa huko Wentworth! Ila ana hisa kwenye mradi wa hii gas.. (hisa zao ni independent.. sijui kama umeelewa)
Serikali ya china ilitoa mkopo na TPDC nao walitoa hela kidogo,
View attachment 1514333View attachment 1514334
Hii ni kwa my knowledge..kama mtu mwingne anajua vingine asemekwa maneno haya tunaona kwenye gesi na kwenye bandari ya bagamoyo kote Magu kawapiga chini wachina. Pia nilisoma mahali kuwa Exxon Mobile nao walikuwepo kwenye utafutaji wa gesi huko kusini, ila awamu ya tano ilipoingia wakasepa.
Sasa hiyo gesi kutoka Mtwara inatumia bomba au inafika vipi hapo Kinyerezi?
Hiyo gesi ya offshore ambayo ni nyingi, kwa nini haijaanza kutumika?
Nikiangalia hali ya kisiasa awamu hii sijasikia gesi ikiongelewa kabisa (naelewa kuna bwawa la Nyerere) lakini je, sababu ya mradi kusimama ni kuzuiwa leseni ya uendeshwaji mpaka mikataba iishe au ni kwa kuwa kila kitu kilishauzwa?
Samahanini kama maswali yangu ni mazito.
Hii ni kwa my knowledge..kama mtu mwingne anajua vingine aseme
Hyo point ya kila kitu kilishauzwa ..i have no clear clarity on that...Hyo gas ya offshore kuna blocks mbali mbali..sasa hizo blocks walipewa kampuni mbali mbali za nje wa exploit na wachimbe..kwa waliziuza basi ni Boko moja kubwa sana....kampuni moja iliyopewa ni exonn mobil...nahisi kuna agreement flani ilifanyika TPDC wakawa wanahisa kwenye kila Block na Well zake ila hisa hizo zilikuwa kidogo (20%) ...niliwahi soma pia document flani kwamba production output ya siku ndo inadertemine % ya profit TPDC atayopata kuna flat base ya 20% ..hii haidepend na profit ya siku..na kisha hizi 20% zinaweza ku rise upto 50% ..something like that
Kutokana na gesi iliyogundulikwa kuwa nying...Tz Goverment wakachuka mkopo exim china wajenge Bomba ili kuleta Dar...kulikuwa na bomba lingine la songo songo ..yote yalikuwa joined pamoja..hii gesi inatumika hadi sasa Twiga cement (40mw)..Kinyerezi 1 &2 na zote zitazojengwa...
Sasa shida kubwa inakuja kwamba hizo wells na production plants(offshore) and machines owners ni Hao Exonn mobil ,Shell na BG if am not wrong..
Wakataka wajenge LNG plant Lindi ili tuanze ku export gas..kwenye mkataba huo nahisi TPDC naye angeweza chukua hisa..ila agreement bado iilikuaa kufanyika..
After 2015..Goverment ilianza kusua sua cause iliona hizo contracts ni mbovu yani pamoja na kwamba LNG itajengwa..tutapata Tax..Gdp ita rise ,employment etc..Bado GOT ilikuwa sio mnufaika mkubwa ...sasa President anataka whats best for the country not companies ndo maana unaona kuna kusua sua
Kuhsu umiliki wa hizo blocks am not so sure..but walipewa wa explore gas zilizopo..agreement zao am not sure TPDC anapata ngap but seems ni kidogo kwao...ndo maana president hajaiendeleza hii issue...
Sasa hii inafanya pipeline ya mTwara -dar iwe under utilized cause nia ilikuwa gas yote onshore na off shore zipite hapo...
I hope nimeclear some of questons
Plus kuhsu Nyerere Dam...Its more cheap ku produce Hydro..plus TZ under Tanesco wont be using any money to buy Gas from TPDC ..kumbuka hii mnazi bay Tanesco ananunua TPDC ambaye naye pamoja kwamba anapata hela kuna hela bado inaenda wentworth...So in turn umeme unakuwa bei juu kidogo kuliko utavyokuwa wa maji..of course u might say the pipeline will be under utilized..but it is what it is...
Awamu hii wameongeza Gas plant moja ..Kinyerezi Extension 185Mw...wakati plan ilikuwa kujenga Kinyerezi 3 &4 600MW and 450MW ...ili kuleta 1625MW total..but we wont likely see that soon..
kwa maneno haya tunaona kwenye gesi na kwenye bandari ya bagamoyo kote Magu kawapiga chini wachina. Pia nilisoma mahali kuwa Exxon Mobile nao walikuwepo kwenye utafutaji wa gesi huko kusini, ila awamu ya tano ilipoingia wakasepa.
Sasa hiyo gesi kutoka Mtwara inatumia bomba au inafika vipi hapo Kinyerezi?
Hiyo gesi ya offshore ambayo ni nyingi, kwa nini haijaanza kutumika?
Nikiangalia hali ya kisiasa awamu hii sijasikia gesi ikiongelewa kabisa (naelewa kuna bwawa la Nyerere) lakini je, sababu ya mradi kusimama ni kuzuiwa leseni ya uendeshwaji mpaka mikataba iishe au ni kwa kuwa kila kitu kilishauzwa?
Samahanini kama maswali yangu ni mazito.
BTW Equinor (formerly Statoil) ndo Largest stakeholder kwa our offshore reserves! Hii mambo ya negotiation hayataki haraka bali weledi! angalia Ghana na Mozambique walioingia kichwakichwa kwenye kusaini makubaliano na ku-float Eurobonds as they anticipated positive results out of their discovery! Au angalia kenya na their early oil pilot scheme that just crumbled! It was a smart move for JPM to sack Prof. Muhongo as he was so much influenced by these Multinational companies to the extent of unfairly sacking Dr. Matarajio as he is patriot that keeps national interests first. It is good that JPM reinstated him at the helm of TPDC!Hii ni kwa my knowledge..kama mtu mwingne anajua vingine aseme
Hyo point ya kila kitu kilishauzwa ..i have no clear clarity on that...Hyo gas ya offshore kuna blocks mbali mbali..sasa hizo blocks walipewa kampuni mbali mbali za nje wa exploit na wachimbe..kwa waliziuza basi ni Boko moja kubwa sana....kampuni moja iliyopewa ni exonn mobil...nahisi kuna agreement flani ilifanyika TPDC wakawa wanahisa kwenye kila Block na Well zake ila hisa hizo zilikuwa kidogo (20%) ...niliwahi soma pia document flani kwamba production output ya siku ndo inadertemine % ya profit TPDC atayopata kuna flat base ya 20% ..hii haidepend na profit ya siku..na kisha hizi 20% zinaweza ku rise upto 50% ..something like that
Kutokana na gesi iliyogundulikwa kuwa nying...Tz Goverment wakachuka mkopo exim china wajenge Bomba ili kuleta Dar...kulikuwa na bomba lingine la songo songo ..yote yalikuwa joined pamoja..hii gesi inatumika hadi sasa Twiga cement (40mw)..Kinyerezi 1 &2 na zote zitazojengwa...
Sasa shida kubwa inakuja kwamba hizo wells na production plants(offshore) and machines owners ni Hao Exonn mobil ,Shell na BG if am not wrong..
Wakataka wajenge LNG plant Lindi ili tuanze ku export gas..kwenye mkataba huo nahisi TPDC naye angeweza chukua hisa..ila agreement bado iilikuaa kufanyika..
After 2015..Goverment ilianza kusua sua cause iliona hizo contracts ni mbovu yani pamoja na kwamba LNG itajengwa..tutapata Tax..Gdp ita rise ,employment etc..Bado GOT ilikuwa sio mnufaika mkubwa ...sasa President anataka whats best for the country not companies ndo maana unaona kuna kusua sua
Kuhsu umiliki wa hizo blocks am not so sure..but walipewa wa explore gas zilizopo..agreement zao am not sure TPDC anapata ngap but seems ni kidogo kwao...ndo maana president hajaiendeleza hii issue...
Sasa hii inafanya pipeline ya mTwara -dar iwe under utilized cause nia ilikuwa gas yote onshore na off shore zipite hapo...
I hope nimeclear some of questons
Plus kuhsu Nyerere Dam...Its more cheap ku produce Hydro..plus TZ under Tanesco wont be using any money to buy Gas from TPDC ..kumbuka hii mnazi bay Tanesco ananunua TPDC ambaye naye pamoja kwamba anapata hela kuna hela bado inaenda wentworth...So in turn umeme unakuwa bei juu kidogo kuliko utavyokuwa wa maji..of course u might say the pipeline will be under utilized..but it is what it is...
Awamu hii wameongeza Gas plant moja ..Kinyerezi Extension 185Mw...wakati plan ilikuwa kujenga Kinyerezi 3 &4 600MW and 450MW ...ili kuleta 1625MW total..but we wont likely see that soon..
kuhusu tepetepe vip kuhusu ruvu?[emoji1] anyway drop it!!
pia, kweny hizo MSE wall hakutakuwa na gradient yoyote ya kupanda au kushuka... mwisho wa hizo MSE wall both sides kuna madaraja (bridges)
lengo la kujenga hizo MSE walls ni kupunguza gharama za kujenga bridge hilo eneo lote.. kujenga wall ni less cost than bridge, hivyo kutakuwa na daraja flan la kupandia MSE wall, then MSE Wall yenyewe then ndo unapita pale daraja la mandela
sasa kama nilivyosema mwanzo mchakato wa kujenga daraja la kupandia MSE wall na kujenga wall yenyewe sio ya mwezi mmoja au miwili.. vilevile najiuliza kwann hawakujenga hii wakat wakiwa wanakenga 2km viaduct/bridge au ile daraja la mandela
kwani umeona any mechanical stabilisation/reinforcement ya ardhi hapo? Sio kila panapojazwa udongo/earthwork ni MSE.kuhusu ruvu, hii sehem yenye udongo unaizungumziaje?
View attachment 1515263
lbda nikuambie kuwa MSE wall inajengwa si kwasababu ya unyevunyevu bali kutokana na flexibility ya eneo lenye high differential settlement and several feet of total settlement, hivyo MSE wall inasaidia kufanya same pressure to be distributed over a wide foundation area
MSE wall inaanza kujengwa hapa
View attachment 1515275
mpk mwanzo wa mandela bridge (kbla hujavuka upande wa bakhresa)
View attachment 1515277
Hapo kwenye udongo hawataunganisha steel structure kweli? Mi nadhani imebidi wa-refill udongo kama barrier kuikinga MGR upande wa kulia ila kutasukwa steel structure kuunganisha hizo concete pillars mbili kama Nkrumah!kuhusu ruvu, hii sehem yenye udongo unaizungumziaje?
View attachment 1515263View attachment 1515264
lbda nikuambie kuwa MSE wall inajengwa si kwasababu ya unyevunyevu bali kutokana na flexibility ya eneo lenye high differential settlement and several feet of total settlement, hivyo MSE wall inasaidia kufanya same pressure to be distributed over a wide foundation area
Hapo kwenye udongo hawataunganisha steel structure kweli? Mi nadhani imebidi wa-refill udongo kama barrier kuikinga MGR upande wa kulia ila kutasukwa steel structure kuunganisha hizo concete pillars mbili kama Nkrumah!
nadhan hamna.. angalia connecting points za hapo nkrumah au sehem nyingine zenye steel structure.. na hizi za ruvu
lbda umesahau ulichosema mwanzo au lbda hatujaelewana [emoji23]
fata huu mtiririko tujue nani hajaelewa
Bantugbro: MSE wall inajengwa kwasababu hilo eneo lipo tepetepe au lina unyevunyevu
Simon: Nikaukiza, vip kuhusu ruvu (mana ni eneo lenye unyevu mwingi)
Bantugbro: Ukasema ruvu tayari kuna madaraja (hakuna haja ya MSE wall)
Simon: Nimekuonyesha kwenye picha hapo, kuna madaraja na udongo, nikauliza unaongeleaje kuhusu huu udongo ruvu (eneo lenye unyevu mwingi)
Bantugbro: unaniuliza tena mim ‘kwan nimeona kuna enforcement yoyote hapo?’ 🤷🏾♂️
anyway, nishakueleza MSE wall haijengwi kwasababu ya unyevu au utepetepe ya eneo
kuhusu MGR kukatiza sijaelewa... rail over rail means rail moja inakatiza upande mmoja kwenda upande mwingine.. au fatilia MGR inakatiza kwenda wap kutoka upande wa kushoto iliyopo
Ni kama baada ya TAZARA, kutakuwa kuna another Rail over Rail overpass nathani ni kuruhusu branch inayoenda bandarini!kuhusu ruvu, hii sehem yenye udongo unaizungumziaje?
View attachment 1515263View attachment 1515264
lbda nikuambie kuwa MSE wall inajengwa si kwasababu ya unyevunyevu bali kutokana na flexibility ya eneo lenye high differential settlement and several feet of total settlement, hivyo MSE wall inasaidia kufanya same pressure to be distributed over a wide foundation area
MSE wall inaanza kujengwa hapa
View attachment 1515275View attachment 1515276
mpk mwanzo wa mandela bridge (kbla hujavuka upande wa bakhresa)
View attachment 1515277
Well said, that idea may make sense somehowNi kama baada ya TAZARA, kutakuwa kuna another Rail over Rail overpass nathani ni kuruhusu branch inayoenda bandarini!
Ni kama ya mizigo itapishana kwa kushuka na kupita chini ya ile ya abiria inayoenda station!Well said, that idea may make sense somehow
Mzee fisadi ashawahi supply wapi trains before!?Mzee Cheyo na kampuni yake ali-submit bid ya ku-supply trains za SGR wakapigwa chini wakaenda mahakamani kukata rufaa, nako huko wakapigwa chini, angalia screenshot hapa chini:
View attachment 1519010
XX
View attachment 1519011
Mzee fisadi ashawahi supply wapi trains before!?