Miez mitano had sita kaka kuna kipande kuanzia Bakhressa pale had pugu hakuna kilichofanyika, kuja had Vingunguti haielewek kama ni gari zitapita chini ama n reli maana hakuna ujenzi wwte hata pale majumba sita ni hivohvo... Hata hili daraja letu maungio ya pale Bakhressa bado sana , maungio ya pale karume bado hata hawajaanza chochote naona had kumaliza ni had mwezi wa pili mwakani spend UNAFKI ktk hili maana naufatilia huu miradi tangia wanaweka mkataba had sasa na mm ni mkazi wa dar naona. N kiasi gani hiki kipande had pugu kinavyowaumiza kichwaMimi ninahisi kuna kitu serikalini, lakini sio malipo.
Kwa mvua upande ulioathirika ni pale Ruvu, hiyo sehemu nimeangalia video wamemaliza sasa wanajaza uongo.
Wakienda kwa speed ya June, kazi iliobaki ni ndogo sana, ndani ya miezi 3-4 watakuwa tayari
Kuanzia bakhresa hadi Prugu ni tuta na reli inapokutana na barabara aidha barabara itapita chini (underpass) au juu (overpass)! Si umbali mrefu kihivyo kama wakijipanga! nadhani kati ya 10-15km!Miez mitano had sita kaka kuna kipande kuanzia Bakhressa pale had pugu hakuna kilichofanyika, kuja had Vingunguti haielewek kama ni gari zitapita chini ama n reli maana hakuna ujenzi wwte hata pale majumba sita ni hivohvo... Hata hili daraja letu maungio ya pale Bakhressa bado sana , maungio ya pale karume bado hata hawajaanza chochote naona had kumaliza ni had mwezi wa pili mwakani spend UNAFKI ktk hili maana naufatilia huu miradi tangia wanaweka mkataba had sasa na mm ni mkazi wa dar naona. N kiasi gani hiki kipande had pugu kinavyowaumiza kichwa
Na hata mimi nimeona ni tuta tu ndio limebaki na madaraja machache sana, hizo 15km wakizivuruga wiki 1 utaona changes kubwa.Kuanzia bakhresa hadi Prugu ni tuta na reli inapokutana na barabara aidha barabara itapita chini (underpass) au juu (overpass)! Si umbali mrefu kihivyo kama wakijipanga! nadhani kati ya 10-15km!
Kuanzia bakhresa hadi Prugu ni tuta na reli inapokutana na barabara aidha barabara itapita chini (underpass) au juu (overpass)! Si umbali mrefu kihivyo kama wakijipanga! nadhani kati ya 10-15km!
Nje ya mada kidogo, hivi gesi ya Mtwara ni nini hasa kilitokea, nani alikuwa mwekezaji?team kutoka Kinyerezi huwa tunatembelea mradi mara mojamoja kuangalia maendeleo ya TL,
hii MSE wall inachukua mda sana, sio wa kuisha Oct
View attachment 1514154View attachment 1514155View attachment 1514157View attachment 1514158
bado pale vingunguti na majumbasita, haijulikan reli na magari itapishanaje mana hakuna hata construction yoyote inayoendelea pale hadi mda huu
team kutoka Kinyerezi huwa tunatembelea mradi mara mojamoja kuangalia maendeleo ya TL, kipande ambacho wamechelewa na wako nyuma kiukwel ni hiko kutoka Dar station hadi Pugu .. kule mbele kuelekea Morogoro hakuna shida kbsa
ebu watueleze hizo 'dream houses' hapo pembeni zipo mtaa gani?? Dar ni vituko walahi.Km 3 na bado kitu hakijaisha. Wapoko watatuonesha manenoz [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi aibu huna?ebu watueleze hizo 'dream houses' hapo pembeni zipo mtaa gani?? Dar ni vituko walahi.
Hii ni reli ya umeme co dizeli, mara ngapi nikueleze kuhusu hili jambo? U have never built it so tulia mpate uzoefu zen na nyie miaka ijayo mjaribu kujenga kwa miezi 6.Km 3 na bado kitu hakijaisha. Wapoko watatuonesha manenoz [emoji23][emoji23][emoji23]
sista punguza povu, ni swali tu......Hivi aibu huna?
Amekushangaa unapohiji kuhusu nyumba za block ilihali kwenu kuna uozo wa bati nchi nzima.sista punguza povu, ni swali tu......
usijishuku aisee, niliuliza jina la mtaa na wala sikutaja nyumba.Amekushangaa unapohiji kuhusu nyumba za block ilihali kwenu kuna uozo wa bati nchi nzima.
Funny you should mention..... kwani hujaona "?"?!sista punguza povu, ni swali tu......
Nafurahi kuona umeelewa [emoji3][emoji3][emoji3]usijishuku aisee, niliuliza jina la mtaa na wala sikutaja nyumba.
Ntakuelezea kidgo about this..Mtwara Kuna Gas sehemu mbili..Onshore na off shoreNje ya mada kidogo, hivi gesi ya Mtwara ni nini hasa kilitokea, nani alikuwa mwekezaji?
Nje ya mada kidogo, hivi gesi ya Mtwara ni nini hasa kilitokea, nani alikuwa mwekezaji?
Ntakuelezea kidgo about this..Mtwara Kuna Gas sehemu mbili..Onshore na off shore
Gas ya offshore ndo nying kuliko on shore almost 80%..ya gas iliyogunduliwa Tz..hii has haijanza kutumika bado kwa matumizi yoyote..ndo mipango..ilikuwa hyo kujenga ma LNG etc
Gas ya onshore najua iko mnazi bay..ambayo wachimbaji wakubwa ni kampuni ya Wentworth..ambapo TPDC pia wana hisa humo wentworth...hii gas ndo inayotumika..kwenye mitambo ya Kinyerezi 1 n 2 kuzalisha umeme...
Gas nyngne iko songo songo island..hyo nayo inachimbwa na inazalisha umeme
Hata wakijipanga hawawez kumaliza kwa miezi miwili maana tunaona wakijenga underpass au hzo overpass huwa wanachukua mda sanaKuanzia bakhresa hadi Prugu ni tuta na reli inapokutana na barabara aidha barabara itapita chini (underpass) au juu (overpass)! Si umbali mrefu kihivyo kama wakijipanga! nadhani kati ya 10-15km!