Diesel-electric locomotives sio dual mode but a diesel generator with electric traction motors for turning the wheels. What you mean is electro-diesel locomotives which are expensive and not widely used. Mpaka saa hii sijaona mpango yoyote ya ku unua locomotives ya TZ SGR na ati mnataka kuanza operatios November..., sioni kama zitakua hybrid locomotives.
Reasons for Kenya to use diesel first
1. Cheap to begin, no power lines to construct saa hii.
2. Kenya haina base load power reserves big enough to sustain reliable SGR trains. Maybe by 2025.
3. Diesel trains bado zitafanya kazi on electrified paths, so upgrades zinaeza fanywa pole pole.
4. Easier to do double stacking
5. Reliable and power grid issues independent. Kaxi haisimami the whole route
View attachment 1142849
Soma tuu hayo maelezo ya locomotives with duo power ujielimishe kdg uache ubishi
View attachment 1142849
Soma tuu hayo maelezo ya locomotives with duo power ujielimishe kdg uache ubishi
SGR NI ya mchina. Unashangilia wakati upati chochote hapo,zaida ya kuonaBandari ya Mombasa imeongeza faida kutoka $380m Hadi $450m mwaka jana... Hio ni sector moja Tu ya logistics hatujaongelea impact yake Kwa Uchumi... Yani last week nilifurahia kusoma vile meli ilifika Msa na contena kama 6,000 na kama bado hawajamaliza kushukisha mizigo yote, tayari ilikua contena zilishoshukishwa zishafikishwa Nairobi wakati meli bado iko bandarini!!!
Gharama ya uendeshaji SGR nyingi huenda Kwa maintenance, fuel ... Hii ni gharama ambayo Sana Sana itabaki constant au kupanda kwa kiasi kidogo Sana .... Wakati Kwa upande mwengine revenue ya mizigo huongezeka exponentially Yani baada ya miezi sita ya Kwanza revenue iliongezeka mara dufu, baada ya miezi sita miengine revenue ikapanda mara 2.5 Yani inazidi kuongezeka kila baada ya miezi sita... Sahii ni mwaka mmoja na nusu tangu tuanze kubeba mizigo.... Kadri mizigo zaidi inazidi kubebwa na SGR revenue itazidi kupanda wakati gharama ya kusafirisha itaendelea kubaki Kwa range ile ile ...
BTW hata nyinyi mtapatwa na changamoto hio hio hapo mwanzo mwanzo, mtafikiria mmetengeneza faida alafu baada ya kulipa watu mishahara. TANESCO watabisha mlango na kudai hela Yao ya stima ...mwishowe mtajikuta na loss ..... Itabidi muendelee kuongeza mizigo zaidi Hadi ule wakati itakua mnabeba kama 60% ya mizigo yote inayoshuka bandarini.... Jambo ambalo haliwezi kufanyika mwaka wa Kwanza... Labda JPM aamuru TRA isilipe TANESCO gharama ya umeme ndo mtatengeneza instant profit!!!
BTW naona Yepi Merkezi ako bussy akieka milingoti ya stima lakini sijaskia mkianzisha project ya ku stabilize umeme Tz na kupunguza blackouts ... Chungeni msiwe kama Ethiopia, umeme wanao kwa wingi kuwashinda lakini bado electric train hukwama Kwa masaa njiani sababu stima zimepotea... Kwahivyo badala ya kuangalia ya huku Kenya ambayo tayari inafanya kazi, chunga sije ukajisahau kwamba mna yenu ya kutafakari Kwa hio yenu ambayo haijaanza kufanya kazi.
Kwn si bullet train tena...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa akili yako kuna locomotive ambayo ni bulllet au unachanganya madesa. Bullet trains ni kwa passengers mostly and not necessarily zivutwe na locomotives but inakuwa EMU
SGR NI ya mchina. Unashangilia wakati upati chochote hapo,zaida ya kuona
Na nani? Kukopa kufinance bloated budget at 30% na receiving a budget support at 8%, which one is better among the two?Usisahau bajeti henu mnafadhiliwa
Na Nani? Unadhani sisi tuna wajomba Kama nyiye ... Utamaduni sawa sawaUsisahau bajeti henu mnafadhiliwa
Kwhyo unapinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na Nani? Unadhani sisi tuna wajomba Kama nyiye ... Utamaduni sawa sawa
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]lazima mpewe ufadhili kw sababu nynyi ni maskiniNa nani? Kukopa kufinance bloated budget at 30% na receiving a budget support at 8%, which one is better among the two?
Hizo substations na kila kitu chake ni Kwa minajili ya kudistribute stima Kwa SGR .... Nilichokua ninakiongelea ni usambazaji wa stima kutoka Kwa power plant Hadi Kwa SGR SubstationsKazi ya stations na sustations za umeme inaendelea na mkandarasi mwingine siyo yapi. Kuna kituo kinajengwa kila baada ya kms 50. Kama huwa unaziangalia vizuri monthly progress videos za yapi, huwa kuna vituo vinaonekana upande wa kulia wa reli.
Tazara pia ni ya mchina. Mliiona Hadi sasa ina operate at only 10% capacitySGR NI ya mchina. Unashangilia wakati upati chochote hapo,zaida ya kuona
Ukitamka neno stima najiskia vibaya hebu jifunze kuita umeme bwanaHizo substations na kila kitu chake ni Kwa minajili ya kudistribute stima Kwa SGR .... Nilichokua ninakiongelea ni usambazaji wa stima kutoka Kwa power plant Hadi Kwa SGR Substations
... Kumbuka stima inayosambaziwa wananchi ndo ile ile itakayoelekezwa Kwa SGR ...... Ikipotea kutoka Kwa power plant hakuna lolote ambalo miundombinu ya SGR inaweza fanya, TANESCO ndo kampuni itakayohusika na kuhakikisha Stima ya kwenda kwa SGR haikatiki ... Je TANESCO wamefanya nini kuhakikisha stable supply ya stima Kwa SGR manake wanahitajika kusambaza stima bila kufeli... Yani 99.9% availability
Hivi unajua hizo stations zina standby generators incase of power outage!Hizo substations na kila kitu chake ni Kwa minajili ya kudistribute stima Kwa SGR .... Nilichokua ninakiongelea ni usambazaji wa stima kutoka Kwa power plant Hadi Kwa SGR Substations
... Kumbuka stima inayosambaziwa wananchi ndo ile ile itakayoelekezwa Kwa SGR ...... Ikipotea kutoka Kwa power plant hakuna lolote ambalo miundombinu ya SGR inaweza fanya, TANESCO ndo kampuni itakayohusika na kuhakikisha Stima ya kwenda kwa SGR haikatiki ... Je TANESCO wamefanya nini kuhakikisha stable supply ya stima Kwa SGR manake wanahitajika kusambaza stima bila kufeli... Yani 99.9% availability
THITIMA Jiskie vibaya ZAIDIUkitamka neno stima najiskia vibaya hebu jifunze kuita umeme bwana
Matumizi ya hovyo ya msamiati kwenye lugha hii adhimuTHITIMA Jiskie vibaya ZAIDI
Sisi hatusikii vibaya mkitumia neno shoga kumaanisha rafiki .Ukitamka neno stima najiskia vibaya hebu jifunze kuita umeme bwana
No chinese didn’t overcharge us, wanasiasa wetu waliongeza figures tu alafu wakaiba za juu, washenzi sanaSammuel999, according to the report u haven't secured funds for other phases n though SRG in Tanzania's length is 4 times Kenya's, it's cost is twice Kenya's! Bwahaha since two arms of rift valley dissect Tanzania implying Chinese have overcharged u people if a comparison is to be undertaken btn Kenya's SRG n that of Tanzania or Ethiopia! And yet speed limit caped at 80 km/hr in Kenya..