wewe naona ni wale ma CCM ufwata upepo ambao wanaamini kila kitu kinachoandikwa JF, hebu nionyeshe ushahidi wowote kwamba mataaluma au mchanga wa kujnga sgr kenya ulitoka nje???We unachekesha wakati huo ww wafanya hyo training.
Sio muda mrefu ukitaka kujenga phase three ya sgr yako utakuja kwangu kununua mataluma ya reli nimeshaanza kuyatengeneza pale soga asa hapo sijui nan kajiwekeza zaid
Una akili timam wakat huo ujenzi wa sgr unafanywa na watz pia watz ndio wanatengeneza mataluma na kufanya ujenzi wa sgr na ma engineer wa yapi merkez ilahli ww hadi mchanganya kokoto ktk ujenz wa sgr yako alikua mchina.
Kwa hapo tushawapiga bao kwanza mataluma ya reli hatutoi nje tunatengeneza wenyewe soga ilhal ww ulikua unatoa nje.
Pili tuna watz ambao wanafanya kaz sambamba ktk ujenz wa hii reli it means kuna watu tunao wana ujuzi ktk utengenezaji wa sgr.
Na kuna watu kumi wameteuliwa na rais wakasomee kuhusu uendeshaji wa sgr kiujumla sio udereva tu km nyie mlivyofikiria pafupi
ushahidi???Tz wana hao watu kitambo tuu wanasubiri utendaji kaz reli ikikamilika
ushahidi???
Hivi ndio watu Tanzania ni wajinga kama KUKU?Kuku ww baba angu ni mmoja wapo wa railway engineers wa tz na yeye anashughulika na ubadilishaji wa metre gauge sasa hv unakataa.nn ndio maana serikali ilitoa watu kumi wakachukue ujuz wa kuendesha sgr kiujumla ili wajuz waongezeke ktk railway ya TRC
Hivi ndio watu Tanzania ni wajinga kama KUKU?
We swahibul aswad aya Nambie huyo uhuru kenyatta basi.ilhali huyo magufuliummayed mbna umeumwa sana..trc wanatumiaga picha za kenya kuwaliwaza watanzania..kw ujinga wako..ukakimbia mbio kutupia picha ya sgr ya kenya kusema ni ya tz...usitulaumu wakenya kw kukuumbua...nenda kawalaumu trc
Hiyo imekua kenyaummayed...mbna umeacha kutuma picha za reli ya kenya...ama waogopa kuumbuliwa...anyway nenda kawalaumu hao TRC
ummayed...mbna umeacha kutuma picha za reli ya kenya...ama waogopa kuumbuliwa...anyway nenda kawalaumu hao TRC
Kuku ww baba angu ni mmoja wapo wa railway engineers wa tz na yeye anashughulika na ubadilishaji wa metre gauge sasa hv unakataa.nn ndio maana serikali ilitoa watu kumi wakachukue ujuz wa kuendesha sgr kiujumla ili wajuz waongezeke ktk railway ya TRC
Nina Swali, kama Tz hawajanunua treni bado, Dereva watafundishwa aje na hamjui gani model ya treni itanunuliwa?
Simulator are for specific models like for planes, so unless locomotives have been bought, this 10students stori siamini.