Kumbe upo, zile picha zilikuogopesha sana mpaka umekimbia?
sasa kwann ukimbie mm nkipost? sio fairKumbe we ni ng'ombe???
kama the battle is too much for you sema tupunguze
madame lewis mbna umekimbia tena sasa
Ni suala la muda tu ππ.SGR inaenda kua Tazara.
Ni suala la muda tu ππ.
Tazara haikuwa reli ya biashara. Ilijengwa mahususi kwajili ya kusafirisha silaha kusini mwa Africa wakati wa harakati za ukomnbozi ndio maana inaitwa pia, "Reli ya Uhuru".SGR inaenda kua Tazara.
Ni mda sasa toka umeadimika what happend ulipona?Ni suala la muda tu ππ.
level yako bado ni ya moshi huezi elewa π
kwahio mkaita na waandishi kabisa kuja kupokea bati π