Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Jikite kwenye mada, sio unaleta stesheni, mara meli, mara matatu mara barabara, mara picha za 1980... yaani uko kila pahali kama nzi.
but si ulianzisha mwenyewe πŸ˜‚ arent you the one who started showing those vertical slums
 
Jikite kwenye mada, sio unaleta stesheni, mara meli, mara matatu mara barabara, mara picha za 1980... yaani uko kila pahali kama nzi.
sema na wewe unagive up mapema sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ hicho kichaka kilipewa city status na train driver anaendesha kwa mask hataki kuvuta moshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…