Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mradi wa SGR Mwanza Ndio Basi tena​

Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi umesimama na maisha yamekuwa magumu kwa wafanyakazi hawakutegemea kilichotokea.

 
Mradi ushaishahauhitaji tena man work, zimebak vitu kama kuweka umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…