Kitambo sana niliwaambia waKenya ni watu wa ajabu. Watu ambao on average ni very clever kuliko the average african/tanzagizan. Watu wa kuona mbele.
Wakati SGR inaundwa it was envisaged that later, it will be electrified. Hatujawai fanya vitu kwa kufuata Tanzagiza. Mtatusubiria sana. Ni ukweli tuu
Bora usafiri. Treni ni zetuTulia hivohivoooo, nyie mkubali bado MNA li reli la kizamani mpaka muanze tena mtoe hela tena iwe ya umeme halafu mnunue Treni maana yake nyie mko bado kwenye miaka ya 90 huko, kubalini tuView attachment 987732
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uwongo gani kusema/kudhani Kenya ndio the economic powerhouse kanda hizi za Africa?Hapana bwana nyie huwa mnadhani ni matajiri Africa mashariki ndio maana mlijenga hiyo hamkidhani Kama Tz tunhewaza makubwa eti kwasababu barabara za 3 lanes mmeanza kujenga before us. Things changes, .now mnavofanya mambo mjue kabisa Giant anawaangalia na kuwa chora, and I hope now mmeshajua kuwa Tz are geneous
Sent using Jamii Forums mobile app
Giant gani? [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna uwongo gani kusema/kudhani Kenya ndio the economic powerhouse kanda hizi za Africa?
Hapana bwana nyie huwa mnadhani ni matajiri Africa mashariki ndio maana mlijenga hiyo hamkidhani Kama Tz tunhewaza makubwa eti kwasababu barabara za 3 lanes mmeanza kujenga before us. Things changes, .now mnavofanya mambo mjue kabisa Giant anawaangalia na kuwa chora, and I hope now mmeshajua kuwa Tz are geneous
Sent using Jamii Forums mobile app
Kingereza hukijuwi vizuri halafu unataka kulazimisha tu.I'm telling u, kuna mkenya nipo nae hapa she is my job mate here.Anakubali kuwa they are lost kwenye SGR. And father attempt to correction will cause total lost. Hata ww unajua hilo lakin hutosema ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
After ngong tunnel which is tunnel no. 1 at the start of the great rift valley
Tunnel No. 2 Kumuka tunnel
tunnel 3. Nachu tunnel
Teh teh sjui wapi hapa..After ngong tunnel which is tunnel no. 1 at the start of the great rift valley
Tunnel No. 2 Kumuka tunnel
tunnel 3. Nachu tunnel
Nakushangaa ww unayelazimisha hata kiswahili hicho kiingereza utakijua lini, unaleta hadithi za abunuasi. Punguza ujuaji mwingi unapotea.Kingereza hukijuwi vizuri halafu unataka kulazimisha tu.
Kitu nilichogundua kwenye hizi nyuzi za Wakenya na Watanzania ni kuwa Wakenya wenbi wako vizuri katika lugha zote mbili kwa kuandika, Kingereza na Kiswahili, kuliko Watanzania wengi.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Tatizo la Kenya kwenye hii miradi mikubwa ni wapigaji sana.
Tanzania pia tatizo hilo tunalo lakini katika hii miaka mitatu Magufuli anajitahidi sana kuwabana. Mungu asaidie afanikiwe, maana dah.
Watanzania wezi si mchezo, wameiba mashirika yote ya umma.
Halafu wengi walioiba mipesa mingimingi ni wajinga, wanaiba halafu wanaipeleka kuificha Ulaya. Au wanaiba halafu wanawapa wahindi na waarabu wafanya biashara wawazalishie.
Wengi wao wanaiba halafu wanalewea tu. Michango mikubwa kwenye harusi na vifo.
Kuna siku nilihudhuria maziko ya ndugu wa rafiki yangu mmoja yalifanyika Sinza. Basi hiyo catering service, vinywaji kila aina ya vya kilevi vilivyokuwepo siku zote za maziko (zaidi ya wiki) nilishangaa sana.
Nikamwambia yule rafiki yangu, inaonesha kwenu ni matajiri sana lakini wewe hujioneshi. Akanambia ahh wapi, mambo yote haya yanafanywa na mjomba anafanya kazi bandarini. Nikashangaa sana, vipi mfanyakazi wa badarini anamudu pesa zote zile? Estimation yangu yanghafla ilikuwa si chini ya million 20 kwa siku zilizotumika kwenye mazishi tu.
Patakua na daraja pia.Halafu wadau naomba kuuliza je pale Buguruni Azam, SGR itapitaje au napo litajengwa daraja sijaelewaelewa itakuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni Tunnel ya TAZARA nadhani hapo ni maeneo ya Mlimba, hivi vitu tulijenga miaka ya mwanzoni mwa 70s...
Asante kwa story nzuri......Kingereza hukijuwi vizuri halafu unataka kulazimisha tu.
Kitu nilichogundua kwenye hizi nyuzi za Wakenya na Watanzania ni kuwa Wakenya wenbi wako vizuri katika lugha zote mbili kwa kuandika, Kingereza na Kiswahili, kuliko Watanzania wengi.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Tatizo la Kenya kwenye hii miradi mikubwa ni wapigaji sana.
Tanzania pia tatizo hilo tunalo lakini katika hii miaka mitatu Magufuli anajitahidi sana kuwabana. Mungu asaidie afanikiwe, maana dah.
Watanzania wezi si mchezo, wameiba mashirika yote ya umma.
Halafu wengi walioiba mipesa mingimingi ni wajinga, wanaiba halafu wanaipeleka kuificha Ulaya. Au wanaiba halafu wanawapa wahindi na waarabu wafanya biashara wawazalishie.
Wengi wao wanaiba halafu wanalewea tu. Michango mikubwa kwenye harusi na vifo.
Kuna siku nilihudhuria maziko ya ndugu wa rafiki yangu mmoja yalifanyika Sinza. Basi hiyo catering service, vinywaji kila aina ya vya kilevi vilivyokuwepo siku zote za maziko (zaidi ya wiki) nilishangaa sana.
Nikamwambia yule rafiki yangu, inaonesha kwenu ni matajiri sana lakini wewe hujioneshi. Akanambia ahh wapi, mambo yote haya yanafanywa na mjomba anafanya kazi bandarini. Nikashangaa sana, vipi mfanyakazi wa badarini anamudu pesa zote zile? Estimation yangu yanghafla ilikuwa si chini ya million 20 kwa siku zilizotumika kwenye mazishi tu.
Ujumbe umekufikia. Maana hujaja tena na uchafuzi wako wa lugha ya Malkia.Nakushangaa ww unayelazimisha hata kiswahili hicho kiingereza utakijua lini, unaleta hadithi za abunuasi. Punguza ujuaji mwingi unapotea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wezi tu hamna lolote.Asante kwa story nzuri......
Siku nyingine pambana na hali yako hilo swali kuhusu inaonekana kwenu sijui matajiri ingekuwa umeniuliza mimi wakati wa msiba ningekuzabua ngumi moja ya mdomo ili nikuvimbishe domo maana haukwenda kumpa kampani mwenzako bali ulienda kuchunguza maisha yao......
Huo ni ushamba wa hali ya juu hivyo vitu ni vyakawaida sana kutokea nimambo ya kuremove stress..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni ushamba wa kipopoma kiingereza ni Lugha kama lugha nyingine kujua wala kutokujua au kuchapia sio swala la kipimo cha maarifa au kitu chochote na wala kukikosea is not a criminal offense, ni sawa na ningechapia kisukuma au kimasai.Ujumbe umekufikia. Maana hujaja tena na uchafuzi wako wa lugha ya Malkia.
Huo ni ushamba wa kipopoma kiingereza ni Lugha kama lugha nyingine kujua wala kutokujua au kuchapia sio swala la kipimo cha maarifa au kiru chochote na wala kukikosea is not a criminal offense, ni sawa na ningechapia kisukuma au kimasai.
Badilikeni huo utumwa wa fikra anapaswa kuwatoka kwanza ndo muwaze maendeleo. Don't think small, you will remain small for life.
Sent using Jamii Forums mobile app