Yaani hapo umejiona umejiuliza vitu vya maana kumbe pumba tupu. Hijja ilikuwepo kabla Muhammad hajazaliwa, na lengo lake sio utalii kama ujuavyo wewe, mtu akiamua kwenda kutalii Italy na akiacha Tanzania anasababu zake, ni chaguo lake. Kwani kuna vingi Italy vipo ila Tanzania hakuna.
Hizi zinaitwa chuki, na wewe sio wa kwanza kuwa nazo. Hata watu wa kwanza waliompinga Muhammad kama Amru ibn Hisham walikua na sabab kama hizi za kwako, kwanini awe Muhammad na asiwe fulani? Ni wivu tuu, unakufumba macho usiuone ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
ivi unajua ulicho anadika unamaanisha nn?mkuuThe world is never flat
Mk54
Hapana hakua dada yake,ila maelezo hayo hutayapata kwenye tarjama( i.e kubadili kutoka lugh ya kiarabu kwenda kwa kiswahili) bali ukisoma tafsiri ya kiarab kwa kiarabu kuna maelezo mazuri wameweka, mfano ukifungua tafsri ya Abdulraan ibn Naaswir Asa'd ameeleza kwa uzuri uhusiano wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vyema basi ukaacha kuandika vitu usivyovifaham, kajifunze kwanza lugha halafu karibu kwa mjadala mkuu. Hongera kwa kuwa mkweli.
Zilikuwepo kabla ya Muhammad kwa waaafrica au kwa waarab?
It’s fun kwa wewe kusima neno CHUKI, LoL
Mk54
Ni vyema basi ukaacha kuandika vitu usivyovifaham, kajifunze kwanza lugha halafu karibu kwa mjadala mkuu. Hongera kwa kuwa mkweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Do you think you are well informed kwenye history than me ?
Mk54
Fact !Only if Quran was reliable and credible source of history,unfortunately it is not.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fact !
Mk54