Unataka kusema kua waziri hana uwezo wa kumsomesha mwanae SA hadi aingie mikataba ya kuuza shirika ili hao wezi wamsaidie kumfadhiri mwanae?? It doesn't make any sense, there is more than that!!TTCL alieifisadi sana ni MWANDOSYA...huyu ndio aliiuza kifisadi mtoto wake akapewa offa ya kusoma afrika kusini...
mi naelewa ishu yote Mwandsya mtoto wake alisomeshwa na TTCL na wakati anasoma SA alikuwa anakaa hotelini muda wote tena hoteli ya gharama!Unataka kusema kua waziri hana uwezo wa kumsomesha mwanae SA hadi aingie mikataba ya kuuza shirika ili hao wezi wamsaidie kumfadhiri mwanae?? It doesn't make any sense, there is more than that!!
Hizi ni ramli, kuna watanzania wengi wanaweza kuongoza kwa utaalam na weledi tatizo siasa zetu za vyama ni tatizo.Na haitatokea Serikali strong zaidi ya hii
TTCL alieifisadi sana ni MWANDOSYA...huyu ndio aliiuza kifisadi mtoto wake akapewa offa ya kusoma afrika kusini...
Nadhani hiki ndicho anachokiongelea Rais Magufuli!
Unataka kusema kua waziri hana uwezo wa kumsomesha mwanae SA hadi aingie mikataba ya kuuza shirika ili hao wezi wamsaidie kumfadhiri mwanae?? It doesn't make any sense, there is more than that!!
baada ya kulaum utawala mnalaum mpinzaniHiyo sentensi ya mwisho kuwa Zitto Kabwe alikuwa ana ushahidi lakini baada ya kupewa kitu kidogo akaamua kunyamaza ndio inanishitua kidogo Inawezekanaje kiongozi huyu machachari afanye hivyo?
Waziri wa fedha katolewa chambo afanye uchunguzi yeye atakuja kushikwa na kigugumizi kama huyu waziri wa mali asili hajamaliza kusoma file kaanza kuhukumu kuja kumalizia mpaka mwisho wa file mhhh kazi ngumu fukia makaburi haraka. Hii kazi waachie wachina tu hawana mchezo you are corrupted ni kunyongwa tu na huko South Korea hawana mchezo na rushwa.I fully agree with you we have a long way to go and alot to do to clean all these mess
I knew, pointing Sumaye and Lowassa will cause some damages on this discussion.And so you post it here hopping that we'll believe it to be true? At what level of tranparenc? Chenge Who? Sumaye Who? Seems lyk u dont know the variety of Proffesionals available in here(JF)
Hiyo ni comment ya zamani sana ndugu yangu kabla sumaye hajahama chamaI knew, pointing Sumaye and Lowassa will cause some damages on this discussion.
Zitto alikuwa anakaa Tabata lakini aliweza kununua nyumba ya 800million Masaki unadhani anaweza ongerea chochote hapo?ni kweli kabisa mtoa mada uyasemayo kuna ufisadi wa kupindukia mh zito alifika pale na kujionea mauzauza lakini nashangaa yupo kimyaa nlizani kwene bajeti ya wizara husika angeliongelea ilo lakini kimyaaaa
Tangu 2012 kumbe alishajipigia zakeni kweli kabisa mtoa mada uyasemayo kuna ufisadi wa kupindukia mh zito alifika pale na kujionea mauzauza lakini nashangaa yupo kimyaa nlizani kwene bajeti ya wizara husika angeliongelea ilo lakini kimyaaaa