Mwanamayu JF-Expert Member May 7, 2010 11,608 6,816 Feb 11, 2017 #1 Wema amwaga mihela jukwaani Mbagala kwenye show ya muziki kati ya shilingi 600,000 na 1,000,000 cash cash kwa mkupuo mmoja!
Wema amwaga mihela jukwaani Mbagala kwenye show ya muziki kati ya shilingi 600,000 na 1,000,000 cash cash kwa mkupuo mmoja!
Sakasaka Mao JF-Expert Member Sep 29, 2016 11,763 15,473 Feb 11, 2017 #2 Lini hiyo? Kumaanisha nini? Ama ni furaha ya kuishinda vita ya madawa ya kulevya anayoipigana?
feitty JF-Expert Member Jul 10, 2015 2,594 4,185 Feb 11, 2017 #3 Dah!wakati wengine tunazililia wengine wanazimwaga watu waokote.
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Oct 13, 2013 18,925 13,263 Feb 11, 2017 #4 Halafu akitoka hapo anawaza saundi ya kumpiga baba mwenye nyumba! Maana tarehe za kodi nazo zimekaribia!
Halafu akitoka hapo anawaza saundi ya kumpiga baba mwenye nyumba! Maana tarehe za kodi nazo zimekaribia!