Sisi hapa kwetu tumeshaanzisha utaratibu wetu,
MTU akibainika na dalili tu ,tunaenda kumpima, vipimo vikionyesha hana virus basi tunamuacha tu anendelee na maisha yake tu,
Mambo ya kuchunguza siku 14 tumeshawaachia wazungu huko.
Serekali haipo serious na haya mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kitu viongozi wetu hawatambui mkuu, sasa unadhani tutafanyaje mkuuIlikuwa heri kuwekwa vilivyo kwenye kujipanga. Kutafuta watu wote waliokutana na mgonjwa kuwa weka kwenye quarantine itakuwa shughuli pevu kweli kweli.
Hicho kitu viongozi wetu hawatambui mkuu, sasa unadhani tutafanyaje mkuu
Cha msingi ni kuchukua tahadhari binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
corona haiui mtu mweusi, haiui mwafrika
Kuna uwezekano corona ilikuwepo kabla ya march 15 Kwa sababu kama China ilikuwepo tangu mwaka jana na watu walikuwa wanafanya safari za kwenda na kurudi China
Unakumbuka ilivyokuwa umeandika hapa?Sisi hapa kwetu tumeshaanzisha utaratibu wetu,
MTU akibainika na dalili tu ,tunaenda kumpima, vipimo vikionyesha hana virus basi tunamuacha tu anendelee na maisha yake tu,
Mambo ya kuchunguza siku 14 tumeshawaachia wazungu huko.
Serekali haipo serious na haya mambo
Sent using Jamii Forums mobile app