Corona si tishio tena, chanjo zipo nyingi

Corona si tishio tena, chanjo zipo nyingi

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,502
Reaction score
16,716
Maradhi ambayo yamesumbua nchi nyingi duniani kwa takriban mwaka mmoja sasa iko karibu kutangazwa si tishio tena kwani mataifa mbali mbali yametangaza kuwa na chanjo zilizofanyiwa majaribio na kutoa tija zaidi ya asilimia 90.

Nchini Marekani wana Pfizer na Moderna ambazo kila moja ina ufanisi wa zaidi ya 90%.China inasema ina chanjo tatu ambazo zimeshaanza kutumika nchini humo na nje ya nchi kama vile Brazili.Hali ni hiyo hiyo kwa Urusi na Uiengereza.

Kwa maana hiyo karibuni tu mambo mengi yaliyokuwa yameshindikana kufanyika kwa urahisi kama vile usafiri wa kimataifa yanaweza kufunguliwa. Na lililo mashuhuri ni kuwa chanjio hizo zitalazimishwa kwa kila nchi.Sijui itakuwaje kwa zile nchi za kiafrika hasa Tanzania ambako corona haikuwa na nguvu,jee chanjo nako zitakuwa lazima?

1605707724078.png
 
Back
Top Bottom