Corona si tishio kwa Afrika

Corona si tishio kwa Afrika

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,905
Habari wananchi wenzangu,

Kumetokea mlipuko wa gonjwa hili la CORONA na likianzia huko China na kusambaa kwa kasi Duniani kote.

Mpaka kufikia leo inakadiriwa maambuzi yamefikia jumla ya watu 187 elfu, waliofariki kwa ugonjwa takribani 7 elfu na waliopona ni takribani 87 elfu.

Hesabu hizi si ndogo na hasahasa kasi yenyewe ya ugonjwa. Ni aina ya virusi ambavyo wataalamu wanasema vimetoka kwa wanyama kama Popo na Nyoka na hatimaye kuweza kuishi kwa Mamalia akiwepo Binadamu. Ugonjwa huu kama yalivyo mafua hayana tiba na unashamiri maeneo yenye baridi.

Virusi vya ugonjwa huu vinasafiri baina ya watu au wanyama kwa kugusana maji maji ya mwili au kwa Chafya. Hauenei kwa njia ya hewa maana virusi hao hawawezi kuelea hewani.

Huweza kukaa mikononi kwa takribani dakika zipatazo kumi na hukaa Kwenye vitu yabisi kwa takribani masaa yasiyopungua mawili.

Hapo mwanzo nimesema ugonjwa huu unashamiri zaidi sehemu za baridi, hivyo pia ni vizuri kuepuka maji baridi sana na ice creams.

Wadudu hawa huweza kufa kwa jua kali la sehemu nyingi za Africa, vilevile kwa kunawa na sabuni na kusukutua kwa maji ya uvuguvugu na yenye chumvi.

Binafsi Mimi ugonjwa huu naona umepewa taharuki kubwa na vyombo vya habari hasa vya mabepari, kuna binadamu wanafaidia na hofu kubwa iliyopo.

Watauza madawa na chanjo zao, vilevile wataboresha na kuokoa UCHUMI wao ambao ulikuwa taabani dhidi ya kasi ya UCHUMI wa nchi za Asia.

Tutaona adhari kubwa za UCHUMI huku mataifa makubwa yakitumia fursa hiyo kuimarika kiuchumi.

Hivyo ni kama mambo ya kutengeneza hivi.

Sisi waafrica, ugonjwa huu nauona si tishio kwa afya zetu, maana mazingira mengi ni ya joto ambapo virusi hivi hufa vyenyewe kabla ya kudhuru watu, lakini pia waafrica wengi miili yetu imeimarika kwa kinga za mwili kutokana na mazingira magumu yanayotuzunguka.

Uchafu, magonjwa mengi na dhiki za kutembea umbali mrefu kutafuta mahitaji katika maisha ya kila siku, yanatuweka Imara kukabiliana na magonjwa mengi bila ya sisi kujua au hata kwenda hospitali.

Wenzetu wazungu na watu wa mabara ya Asia na Europe, maisha yao ni tofauti au kinyume na waafrica, mazingira yao na hali ya hewa ni rafiki ya virusi hivi, pia watu hawa nimepata kuishi nao mbali ya Rangi zao za miili kiujumla ni wengi wanatabia za "uchafu rejareja".

Kama kutokunawa na kutegemea tissue tu huku miili yao ikiwa haina kinga za kutosha kutokana na maisha na mazingira yao. Kiujumla wapo vizuri Kwnye usafi wa Mazingira na makazi lakini kuna zile taabia za mtu binafsi kuwa mchafu mchafu.

Vile vile hawa wenzetu wana idadi kubwa ya watu wazee tofauti na Africa. Watu wenye umri mkubwa ni rahisi kushambuliwa na gonjwa hili.

Binafsi nawashauri, acheni taharuki na kuyumbishwa na habari za ugonjwa huu, tunayo matatizo yetu na magonjwa yetu ambayo yanatutesa sana na kuua maelfu hata zaidi ya hii CORONA. Magonjwa kama Malaria inaua karibu mara 4 ya ugonjwa huu, njaa inaua karibu watu 8 elfu kwa siku duniani, Ajali zinatuua sana waafrica kutoka na miundombinu mibovu au hafifu.

Vita vya kisiasa vinapoteza maelfu ya watu. Magonjwa yasiyoambukiza Kisukari na Pressure hivi sasa yanaua watu wengi Africa na nji zinazoendelea kwa watu wenye vipato vya kati kutokana na tabia mbovu za kuishi, life styles.

Inasikitisha sisi kuhamishwa fikra, kujazwa hofu na kuanza kuwaza CORONA huku tukiwa na matatizo mengine makubwa na hatari zaidi. VIONGOZI nao wamepoteza dira na muelekeo nao wamedumbukia humu.

Huu ugonjwa wa nchi za Baridi na wazee huko kwa wazungu, hebu fanyeni kazi na ondoeni hofu miongoni mwenu.

Majira ya joto yapo karibu, ugonjwa huu utatoweka mara moja huko kwa wazungu na hapo mtaamini ugonjwa huu unaathiri zaidi nchi zenye baridi.

Kituko sasa ni Tanzania, jambo hili wanalichanganya na Siasa, mpaka sasa wanasema kuna mgonjwa mmoja, mara wanazuia mikutano hasa ya kisiasa, mitandaoni humu, vurumai mtindo mmoja.

TUFANYE KAZI HAKUNA CORONA YA KUTUSHAMBULIA SISI, WATU WA MUNGU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepresent vizuri sana Mkuu, huu ugonjwa umekuwa overrated na CNN and the likes kwa madhumuni yao ambayo wao ndio wanayajua. Out of 7b people duniani, only 7000 wamekufa ndani ya miezi 4!! Tena ni wale wenye matatizo mengine nyemelezi. 81% ya watu wote waliopata huu ugonjwa huwa hawaoneshi hata dalili za ugonjwa hadi wanapona. Where is this panick come from? Ndio la kujiuliza hilo kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anachukua mzigo kutoka kwa Msambazaji Mkuu
FB_IMG_1584507417451.jpeg
 
kwa maa ya kwanza maishani mwangu nimeona FAIDA ZA UCHAFU!
So tungelelwa kwemnye mazingira masfisadi hivi saivi kinga ingekuwa dhoofli hali..dah
 
Nilikuwepo china kipindi hicho,hali kwa watu ilikuwa mbaya tangu mwezi October na kuja kuongezewa nguvu na kipupwe kilichoanza kukolea mwezi November,sema tu kwa sababu zao waliamua kuuficha ulimwengu...na kwa vile China ni miongoni mwa nchi wasiri sana.

Wachina wengi walikuwa wanakohoa na kufuta kamasi hatari.
Mkuu huu ugonjwa umeua wengi kama china umeua zaidi ya watu elfu 10 sema china wameficha we unakuja na hoja nyepesi eti ni ugojwa wa kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wananchi wenzangu,

Kumetokea mlipuko wa gonjwa hili la CORONA na likianzia huko China na kusambaa kwa kasi Duniani kote.

Mpaka kufikia leo inakadiriwa maambuzi yamefikia jumla ya watu 187 elfu, waliofariki kwa ugonjwa takribani 7 elfu na waliopona ni takribani 87 elfu.

Hesabu hizi si ndogo na hasahasa kasi yenyewe ya ugonjwa. Ni aina ya virusi ambavyo wataalamu wanasema vimetoka kwa wanyama kama Popo na Nyoka na hatimaye kuweza kuishi kwa Mamalia akiwepo Binadamu. Ugonjwa huu kama yalivyo mafua hayana tiba na unashamiri maeneo yenye baridi.

Virusi vya ugonjwa huu vinasafiri baina ya watu au wanyama kwa kugusana maji maji ya mwili au kwa Chafya. Hauenei kwa njia ya hewa maana virusi hao hawawezi kuelea hewani.

Huweza kukaa mikononi kwa takribani dakika zipatazo kumi na hukaa Kwenye vitu yabisi kwa takribani masaa yasiyopungua mawili.

Hapo mwanzo nimesema ugonjwa huu unashamiri zaidi sehemu za baridi, hivyo pia ni vizuri kuepuka maji baridi sana na ice creams.

Wadudu hawa huweza kufa kwa jua kali la sehemu nyingi za Africa, vilevile kwa kunawa na sabuni na kusukutua kwa maji ya uvuguvugu na yenye chumvi.

Binafsi Mimi ugonjwa huu naona umepewa taharuki kubwa na vyombo vya habari hasa vya mabepari, kuna binadamu wanafaidia na hofu kubwa iliyopo.

Watauza madawa na chanjo zao, vilevile wataboresha na kuokoa UCHUMI wao ambao ulikuwa taabani dhidi ya kasi ya UCHUMI wa nchi za Asia.

Tutaona adhari kubwa za UCHUMI huku mataifa makubwa yakitumia fursa hiyo kuimarika kiuchumi.

Hivyo ni kama mambo ya kutengeneza hivi.

Sisi waafrica, ugonjwa huu nauona si tishio kwa afya zetu, maana mazingira mengi ni ya joto ambapo virusi hivi hufa vyenyewe kabla ya kudhuru watu, lakini pia waafrica wengi miili yetu imeimarika kwa kinga za mwili kutokana na mazingira magumu yanayotuzunguka.

Uchafu, magonjwa mengi na dhiki za kutembea umbali mrefu kutafuta mahitaji katika maisha ya kila siku, yanatuweka Imara kukabiliana na magonjwa mengi bila ya sisi kujua au hata kwenda hospitali.

Wenzetu wazungu na watu wa mabara ya Asia na Europe, maisha yao ni tofauti au kinyume na waafrica, mazingira yao na hali ya hewa ni rafiki ya virusi hivi, pia watu hawa nimepata kuishi nao mbali ya Rangi zao za miili kiujumla ni wengi wanatabia za "uchafu rejareja".

Kama kutokunawa na kutegemea tissue tu huku miili yao ikiwa haina kinga za kutosha kutokana na maisha na mazingira yao. Kiujumla wapo vizuri Kwnye usafi wa Mazingira na makazi lakini kuna zile taabia za mtu binafsi kuwa mchafu mchafu.

Vile vile hawa wenzetu wana idadi kubwa ya watu wazee tofauti na Africa. Watu wenye umri mkubwa ni rahisi kushambuliwa na gonjwa hili.

Binafsi nawashauri, acheni taharuki na kuyumbishwa na habari za ugonjwa huu, tunayo matatizo yetu na magonjwa yetu ambayo yanatutesa sana na kuua maelfu hata zaidi ya hii CORONA. Magonjwa kama Malaria inaua karibu mara 4 ya ugonjwa huu, njaa inaua karibu watu 8 elfu kwa siku duniani, Ajali zinatuua sana waafrica kutoka na miundombinu mibovu au hafifu.

Vita vya kisiasa vinapoteza maelfu ya watu. Magonjwa yasiyoambukiza Kisukari na Pressure hivi sasa yanaua watu wengi Africa na nji zinazoendelea kwa watu wenye vipato vya kati kutokana na tabia mbovu za kuishi, life styles.

Inasikitisha sisi kuhamishwa fikra, kujazwa hofu na kuanza kuwaza CORONA huku tukiwa na matatizo mengine makubwa na hatari zaidi. VIONGOZI nao wamepoteza dira na muelekeo nao wamedumbukia humu.

Huu ugonjwa wa nchi za Baridi na wazee huko kwa wazungu, hebu fanyeni kazi na ondoeni hofu miongoni mwenu.

Majira ya joto yapo karibu, ugonjwa huu utatoweka mara moja huko kwa wazungu na hapo mtaamini ugonjwa huu unaathiri zaidi nchi zenye baridi.

Kituko sasa ni Tanzania, jambo hili wanalichanganya na Siasa, mpaka sasa wanasema kuna mgonjwa mmoja, mara wanazuia mikutano hasa ya kisiasa, mitandaoni humu, vurumai mtindo mmoja.

TUFANYE KAZI HAKUNA CORONA YA KUTUSHAMBULIA SISI, WATU WA MUNGU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kufananisha corona na mafua ndipo ninapopishana na watu wengi. Kuna magonjwa ambayo yaliua sana wazungu kama Swine flu, Spanish flu, H1N1 n.k. hayo kweli yalikuwa yanafanana na mafua.

Ila corona siyo mafua. Hili gonjwa linadamage mapafu. Yaani hata mtu akipigwa x ray kwenye mapafu unaona damage ya corona...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepresent vizuri sana Mkuu, huu ugonjwa umekuwa overrated na CNN and the likes kwa madhumuni yao ambayo wao ndio wanayajua. Out of 7b people duniani, only 7000 wamekufa ndani ya miezi 4!! Tena ni wale wenye matatizo mengine nyemelezi. 81% ya watu wote waliopata huu ugonjwa huwa hawaoneshi hata dalili za ugonjwa hadi wanapona. Where is this panick come from? Ndio la kujiuliza hilo kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini Italy watu wanakufa kuliko nchi zingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom