Kuanzia mwezi Desemba 2020, mpaka jan,february 2021 tutarajie watoto wengi kuzaliwa ikiwa ni faida za Corona baada ya wenza kulazimishwa kukaa pamoja muda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Wakubwa wanafaidi
Wanyakyusa lazim wawap majin mwaikorona[emoji23]Kuanzia mwezi Desemba 2020, mpaka jan,february 2021 tutarajie watoto wengi kuzaliwa ikiwa ni faida za Corona baada ya wenza kulazimishwa kukaa pamoja muda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ukweli wenyeweKuanzia mwezi Desemba 2020, mpaka jan,february 2021 tutarajie watoto wengi kuzaliwa ikiwa ni faida za Corona baada ya wenza kulazimishwa kukaa pamoja muda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
familia za namna hiyo inabidi wakae chini wazungumze wabaini chanzo cha gubu hilo. hakuna raha kama kuishi kwenye familia yenye maelewano.bad news ni kwamba kuna familia saa hizi mambo ni fire,sababu ya gubu la asili kwa baadhi ya wanafamilia muda huu wapo nyumbani,mwingine anaomba corona ipite akawe anashinda kazini.
any way Mungu akawatie nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app