Corona: Kwanini kuna usiri? Hivi vifo ni kweli au kiini macho?

Coronya ni ugonjwa bandia unaopachikwa kwenye fikra za watu.

Huku nilipo sijaona hata nzi akifa! Najiuliza hayo mamilioni ya watu wanaotakiwa kufa yako wapi?

Wanaharakati wa barakoa wakatuambiwa tusubiri tutaona vifo vya kutisha watu wakianguka barabarani kama mizoga! Mpaka leo mwezi wa tatu, hakuna cha coronya wala corona!

Ohhh tutakufa, maiti zitazagaa!!! Ziko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Zipo mitandaoni
 
ujanja ujanja tu. ... vita zao za kiuchumi zina wafanya watu brainwash
 
Coronya ni ugonjwa bandia unaopachikwa kwenye fikra za watu.

Huku nilipo sijaona hata nzi akifa! Najiuliza hayo mamilioni ya watu wanaotakiwa kufa yako wapi?

Wanaharakati wa barakoa wakatuambiwa tusubiri tutaona vifo vya kutisha watu wakianguka barabarani kama mizoga! Mpaka leo mwezi wa tatu, hakuna cha coronya wala corona!

Ohhh tutakufa, maiti zitazagaa!!! Ziko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma post namba nane, halafu usijitoe Faham, watu wanakufa Kama kuku, Kama hujakutana nao subiri ila pia Faham kuwa watanzania wako zaid ya million nane na nchi ni kubwa wanaweza kufa watu wengi Sana usijue Kama hajafa kwenu au nyumba ya Jirani Na faham kuwa ikifika hatua kila mtanzania akajua na kuona uhalisia ujue kuwa zaid ya watu milioni Tatu wameanguka ila Kwa Saasa huwezi jua maaana taarifa hawatoei, utajuaje Wakati taarifa hawatoi?na faham kuwa watu hawapaswi kusema kuwa Fulani kafa kwa corona na jua kuwa Kwa sasa Tanzania imeminya uhuru, hivyo hutaona hali ilivyo, wewe subiria ufe wewe Au Mke wako Au Mtoto wako au Ndugu yako hapo ndio utajua kuwa kumbe corona ipo, labda nikuulize kuwa unafaham kuwa tumepoteza wabunge watatu? Unafaham kuwa waziri wa mambo ya ndani amepoteza Ndugu Saba kwa muda wa Siku 27 ?

Chukua hatua corona ipo inaua kimya kimya watu wanaondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapo sema kua japo jirani alikua na sukari lakini ni ngumu kukubali, una maana gani ilihali thred yako yahusu COVID19?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wewe unataka ukatae kuwa sio corona? Mbona Kama mtu akisema kuwa ni corona mnaumia? Kwani mmesikia kuwa corona imeletwa na nyie? Kwa nini mnaumia? Hamjaileta nyie acha kuhangaika kuzuia kuwa sio corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hali ya kawaida, kama ingekuwa ni vita basi tungeona hata picha au video watu wakiwa wamekufa maeneo husikia

Nchi kama marekani idadi ya vifo zaid ya 90 elfu hadi sasa na vifo zaidi ya 1000 kwa siku lakini hakuna video zinazoonesha hata kwa kubahatisha basi baadhi ya miili ya watu hao.

Nchini humo kuna vyombo vya habari huru zaidi ya miambili lakini hakuna chombo hata kimoja kikionesha uhalisia wa vifo

Basi hata kama ethics za uandishi haziruhusu, basi hata raia mmoja apost hata Telegram, WhatsApp au hata YouTube kuonesha massive death lakini sijapata hiyo video miezi zaidi ya minne sasa.

Basi hata mtu alie hospital aoneshe wakiwa huko watu wanavyokufa kama ile video ya Mange kutoka Amana Hospital lakini wapi hakuna video kama hiyo.

Ukiacha hilo basi hata makaburi tuyaone ya watu waliokufa wakizikwa lakini hakuna. Tunaishia kuona video za majeneza yasiyozidi hata 20 kwa idadi.

Hata kama wanajeshi wanapita mtaani kuchukua maiti..basi tungewaona hata kwenye video yakujificha kama ambavyo
Tuliyoona ya mnazi mmoja wakiwa na safety gear zakubebea maiti.

Si Marekani tuu hata mataifa mengine yana report vifo vingi kwa siku lakini sielewi kuna usiri gani katika hili kwa kutoona uhalisia.

Mwenye anajua anipe ufafanuzi maana kuna muda tunafikiria ni ugonjwa wa kisaikolojia uliotengenezwa kwa lengo fulani kuiaminisha dunia na wakafanikiwa malengo yao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Usitegemee kupata data za namna hiyo kwa nchi yenye watu waliostaarabika (civilized). Usitegemee kuona maiti zikizagaazagaa ovyo kwny nchi zilizoendelea. Mambo hayo utayapata Hapa kwetu tu
 
Soma post namba nane, halafu usijitoe Faham, watu wanakufa Kama kuku, Kama hujakutana nao subiri ila pia Faham kuwa watanzania wako zaid ya million nane na nchi ni kubwa wanaweza kufa watu wengi Sana usijue Kama hajafa kwenu au nyumba ya Jirani Na faham kuwa ikifika hatua kila mtanzania akajua na kuona uhalisia ujue kuwa zaid ya watu milioni Tatu wameanguka ila Kwa Saasa huwezi jua maaana taarifa hawatoei, utajuaje Wakati taarifa hawatoi?na faham kuwa watu hawapaswi kusema kuwa Fulani kafa kwa corona na jua kuwa Kwa sasa Tanzania imeminya uhuru, hivyo hutaona hali ilivyo, wewe subiria ufe wewe Au Mke wako Au Mtoto wako au Ndugu yako hapo ndio utajua kuwa kumbe corona ipo, labda nikuulize kuwa unafaham kuwa tumepoteza wabunge watatu? Unafaham kuwa waziri wa mambo ya ndani amepoteza Ndugu Saba kwa muda wa Siku 27 ?

Chukua hatua corona ipo inaua kimya kimya watu wanaondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha propaganda za kijinga bwana mdogo,million 8+ ni idadi ya Tz nzima ama Dar-es-salaam,na kama wakifa watu 3millions ni kwamba mimi na wewe tunashuhudia vifo majumbani mwetu,majirani zetu na hata ndugu zetu vijijini,Watanzania tupo 50million plus,ila mpaka sasa hakuna ndugu,jiran wala rafiki wa karibu ninayemjua kafa kwa corona,sasa nashangazwa hizi idadi zenu za kipuuzi mnatoa wapi?

Kumbuka bwana mdogo,kuna habari za mitandaoni na kwenye vyombo vya habari,
Pia kuna ukweli ambao sisi ndio tunayajua maisha yetu halisi.

Katika hao 3M umefiwa na wangapi?
 
Aljazeera wanaonyesha kila siku Brazil wanachimba makaburi na greda,upo dunia ipi ndugu??? Vyombo vya habari unaangaliaga kweli?Au unaishiaga kuangalia ubongo kids????

Sent using Jamii Forums mobile app
Aljazeera wameshindwa kuonesha uhalisia huo ulaya na matekani... hujiulizi wapi ni shida?

Kesi ya brazir kila mtu anaijua ila kwanini cyo ulaya na marekani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom