Corona: Kenya yaendelea kujichanganya, yajiandaa kuruhusu kufungua anga yake kuruhusu ndege za abiria

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Revealed: Preparations In High Gear To Resume Passenger Flights At JKIA Amid Covid-19 Pandemic

Kweli kirusi cha Corona kimewachanganya sana majirani wetu. Inawezekanaje wakati ardhini unaendelea kywazuia watu kutoka na kutembelea baadhi ya maeneo ikiwemo Nairobi, lakini unaruhusu ndege kuleta watu kutembelea Nairobi ambayo kwa sasa maambukizi bado yanaongezeka kwa kasi kubwa?.

Hii ni dalili ya wazi kwamba viongozi wa Kenya hawajui wanalolitaka, pia ni dalili ya wazi kwamba wanafuata na kuiga kila kinachofanywa na wazungu, iweje Kenya kufikiria kuanza kuruhusu ndege za abiria kuanza safari zake katika kipindi hiki ambacho idadi ya maambukizi mapya inaongezeka kwa kasi?

======

Weeks after the international passenger flight ban was extended in the country over the Coronavirus threat, Kahawa Tungu has learnt that plans are underway to resume operations.

Preparations spearheded by the Kenya Airports Authority (KAA) are in high gear ahead of the resumption of the flights at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA), Nairobi.

JKIA Airport Manager Abel Gogo has organised for a virtual Zoom meeting on Wednesday, May 13, to strategise on the resumption of activities at Kenya’s largest airport.

The meeting will involve officials from the Aeronautical Operational Control (AOC), all government agencies, concessionaires, contractors, suppliers and service providers.

In a memo dated Monday, May 11, Gogo urged the departments/organizations to nominate one senior member to join the meeting.

“In preparation for the imminent resumption of passenger operations at the Jomo Kenyatta International Aiport you are hereby invited to a virtual meeting to be held on Wednesday 13th May 2020 at 1100hrs, ” the memo reads.

Some of the issues to be discussed include precautionary public health measures for civil aviation amid the Covid-19 pandemic.

The officials, according to the memo, will also deliberate on operational readiness and resumption activities.

The memo comes amid safety concerns from all quarters considering that the delay in closing Kenya’s airspace contributed in the importation of the contagious disease.

Covid-19 remains a big threat to all countries worldwide and many governments remain adamant on boarder and airspace closure as part of measures to contain further spread of the disease despite huge losses being reported in the aviation sector.

The government of Kenya suspended international flights on March 25. On April 6, the flight ban was extended for an additional 30 days.

The cessation of movement announced by President Uhuru Kenyatta last month also banned passenger flights in Nairobi, Mombasa, Kwale and Kilifi counties.

The ban exempted cargo flights.

The latest communication from KAA means that the government might not extend the ban further.

Over the recent past, the staff at the JKIA including Kenya Airways crew have raised serious complaints about the government’s response to Covid-19 with some saying they were at a high risk of contracting the disease.

Last month, a KQ pilot was among individuals who succumbed to Covid-19.

The late Captain Daudi Kimuyu Kibati is the pilot who flew the last KQ flight from New York before the flight ban took effect.

Source: KahawaTungu
 
Hawa jamaa ni wanafki duniani hakuna mfano.wanajifanya eti lockdown ya usiku nani kawadanganya waafrika wanatembea usiku?sasa hivi wanajipendekeza kwa wazungu kwa kutupakaza
 
Hawa jamaa ni wanafki duniani hakuna mfano.wanajifanya eti lockdown ya usiku nani kawadanganya waafrika wanatembea usiku?sasa hivi wanajipendekeza kwa wazungu kwa kutupakaza
Hasira yote hiyo ni kujaribu kumshusha Magufuli, hawafurahii kusikia Magufuli akisifiwa wakote wote, wamepata sehemu ya kupumua angaliu kupunguza uchungu wa muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuta mtanzania anakuja kutukana haya maamuzi ya wakenya wakati huku kwao anadisagree na lockdown huku akipigia vigeregere na mapambia kipiga nyungu na dawa ya madagascar

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hutaki kutumia akili na kujipa muda kuelewa kinachosemwa, Uzi unazungumzia kuchanganyikiwa kwa Kenya ambao wameamua kutumia njia ya kujifungia ktk mapambano ya Corona, hivi inakuwaje huku ardhini wanaendelea na kufunga maeneo mbalimbali, lakini angani wanapanga kufungua?, huko ndio kuchanganya mafaili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kwa sasa kama kuna nchi zilizo kuwa kwenye lockdowns wanaruhusu ndege zao
Hii ni ndoto bado maana usafiri hakuna sasa sijui hizo ndege zitatoka wapi
Kama mashirika yote yako grounded hizi ndege ni za shirika gani?
Kwa sasa tupambane na majangili tu kwenye mbuga zetu maana wanyama wanaisha haswa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Sidhani kwa sasa kama kuna nchi zilizo kuwa kwenye lockdowns wanaruhusu ndege zao
Hii ni ndoto bado maana usafiri hakuna sasa sijui hizo ndege zitatoka wapi
Kama mashirika yote yako grounded hizi ndege ni za shirika gani?
Kwa sasa tupambane na majangili tu kwenye mbuga zetu maana wanyama wanaisha haswa


Sent from my iPhone using Tapatalk
Si kwamba tunafungua airspace Kesho na kuanza kupokea wageni ni ile hali ya kujiandaa. Baada ya korona namna watu husafiri itabadilika sana kwa hivyo lazima mashirika ya usafiri ya anze kujiandaa mapema.
 
si kwamba tunafungua airspace Kesho na kuanza kupokea wageni ni ile hali ya kujiandaa.
baada ya korona namna watu husafiri itabadilika sana kwa hivyo lazima mashirika ya usafiri ya anze kujiandaa mapema.

Nimekupata maana nilishangaa kidogo
Nilikuwa nakuja huko ila kwa hii lockdown hawajaongelea kabisa kuhusu ndege naona labda mpaka October au mbele zaidi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Tatizo hutaki kutumia akili na kujipa muda kuelewa kinachosemwa, Uzi unazungumzia kuchanganyikiwa kwa Kenya ambao wameamua kutumia njia ya kujifungia ktk mapambano ya Corona, hivi inakuwaje huku ardhini wanaendelea na kufunga maeneo mbalimbali, lakini angani wanapanga kufungua?, huko ndio kuchanganya mafaili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndye umechanganikiwa huelewi nini maana ya lockdown na inawezekana hata lugha huelewi vizuri. Wanazungumzia mipango kazi jinsi watakavyo fungua huduma za ndege. Wewe unasema wamechanganikiwa. Du huu si mweu anamcheka kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 


EX02v6lWoAMrvjz


Screenshot_2020-05-13-09-10-10.png
 
Wewe ndye umechanganikiwa huelewi nini maana ya lockdown na inawezekana hata lugha huelewi vizuri. Wanazungumzia mipango kazi jinsi watakavyo fungua huduma za ndege. Wewe unasema wamechanganikiwa. Du huu si mweu anamcheka kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha ujuha wewe, soma hiyo link vizuri, wanasema wanategemea kuanza kuruhusu ndege za abiria ndani ya muda mfupi ujao. Iweje uzungumzie kufungua hanga katika kipindi ambacho maambukizi ndio yanaongezeka?, kwanini wasisema wanajiandaa kufungua shule na vyuo vya elimu, au hivyo havihitaji maandalizi mapema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom