mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,529
- 5,175
Hasira hzo sasa[emoji122][emoji122]Kibera pekee ina watu zaodi ya mil 2.5
Jana tu mitaa ya tanesco Arusha nimepishana na mtu yupo na maiti wake hata jeneza hamna.
Jamaa kamtupa huko nyuma ya kirikuu hamna hata jeneza alafu kaweka vimaua mbele na anatembea balaa