Kumbe ni wa Jalalani kweli! Kabudi aliliona!Japo pale #5 mwishoni mwishoni pana ka ukakasi, ni hatua kama hizi tunazoihitaji pia serikali kuzichukua. Hasa hasa kudhibiti mikusanyiko ya watu na kuwahami wale walio kwenye hatari zaidi.
Nilipoona kichwa cha habari nilitabasamu na kshusha pumzi nikitegemea kuwa wamekuja na suluhisho! Hakuna jipya. Nilidhani wamegundua dawa/tiba au chanjo kumbe ni yale yale.cHakuna jipya.
Kumbe ni wa Jalalani kweli! Kabudi aliliona!
This is an academic Institution, tena a renowned higher learning Institution, wanapofanya ujinga, let us not spare them!Mkuu heri ya nusu shari kuliko ya shari kamili.
Tukishindwa kupongeza kwa machache hata mengi hatutaweza. Tushukuru hata kwa machache tunapoendelea kuchagiza kwa mengine zaidi.
Hivi mnaotaka Serikali iseme kuna CORONA mnaotaka iweje?baadhi wanataka Serikali ikiri na kuchukua hatua kali km lockdown na tuletewe misaada/kukopeshwa chanjo.Hatua ya Serikali kutokukir ni bora zaid.KAMA mtu anataka Karantin ajiweke mwenyewe.Kwahiyo UDSM wameamua kupingana na wizara ya afya? Naibu waziri kasema hakuna Corona Tanzania...
Naona sasa inaibuka vita ya wanasiasa na wataalam....
Sisi raia wema na wapenzi wasikilizaji tunaendelea kuufanyia kazi ushauri wa Rais Mstaafu JK..."Akili za kuambiwa, changanya na zako"
Neno jema haliwezi toka NazarethNilipoona kichwa cha habari nilitabasamu na kshusha pumzi nikitegemea kuwa wamekuja na suluhisho! Hakuna jipya. Nilidhani wamegundua dawa/tiba au chanjo kumbe ni yale yale.cHakuna jipya.
Ni wapi UDSM wamepingana na Wizara ya Afya kwamba Corona ipo? Hata hivyo katika bandiko hili sijaona kipya.Kwahiyo UDSM wameamua kupingana na wizara ya afya? Naibu waziri kasema hakuna Corona Tanzania.
Naona sasa inaibuka vita ya wanasiasa na wataalam.
Sisi raia wema na wapenzi wasikilizaji tunaendelea kuufanyia kazi ushauri wa Rais Mstaafu JK..."Akili za kuambiwa, changanya na zako"
Ningewapongeza zaidi kama wangefunga chuo kwa mda mpaka pale itakapojiridhisha kuwa tuko salama kama nchi vinginevyo bado siwaelewi kama taasisi kuu ya wasomi kutoa vipeperushi vya kiwoga woga kama hichi.
Sasa Daktari wa JF tupe dawa yako kama hizo hazifai.Mkuu process ya kugundua dawa au chanjo si mchezo:
Corona: Tunavyongopeana kwenye hili la tiba na chanjo
Mabibi na mabwana kumekuwa na habari nyingi kuhusiana na tiba na au chanjo za ugonjwa huu. Kujiridhisha nimelazimika kujivinjari kiselule selule pale katika shule ya tiba, Muhimbili. Yafuatayo ni niliyokusanya na kwa kweri tunaongopeana sana: 1. Antigen - hiki ni kitu kigeni katika mwili...www.jamiiforums.com
Beberu mwenyewe kama unavyomwona na umahiri wake angali anacheza makida makida.
Avumbue nani dawa, UDSM? Thubutu!
Bupeji au Covido eti dawa? Bandugu tutofautishe baina ya dawa na juice za Jambo - JAMUKAYA.
Dawa au chanjo haviji kwa kuoteshwa!